Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Still, watu wanaweza ku fight back bana aaargh!Nyani
Wanavizia makundi ya vijana wale Wachache Wachache.
Pia wapo na majina ya vijana ambao wanawatafuta. Kwahiyo usiku huu ndio wanatafuta na kuwa chukua kisha kuwapiga risasi.
how do u do that? tupe mbinu maana jamaa wana shoot from their unmarked cars, wanatembea usiku tu, kuna kisasi anacho huyu mama against Watanganyika..Still, watu wanaweza ku fight back bana aaargh!
Watanzania tukoje sisi???
..kutengeneza hofu za kipumbavu tu..lengo ni vijana waone km wanatafutwa wajenge hofu ya kutoka!Kwanini Lakini? Hawajaridhika na maelfu ya hao vijana waliowaua?
Kwasasa kwa vijana wanaowatafuta, wakiwakamata wanawapiga risasi.
Jeshi please wasaidieni vijana wetu. Usiku hali ni mbaya sana.
Hakuna kitu km hicho..toa upuuzi wako hapa!Nyani
Wanavizia makundi ya vijana wale Wachache Wachache.
Pia wapo na majina ya vijana ambao wanawatafuta. Kwahiyo usiku huu ndio wanatafuta na kuwa chukua kisha kuwapiga risasi.
..si kweli, msemaji anataka kujenga hofu vijana waogope kutoka nje sabab wakitoka wanapata muda kujadiliana kiwango cha uhalifu uliofanyika na kuamua kuchukua hatua!Inawezekana kuwa kweli na inawezekana kuwa uzushi
Na mbaya zaidi kama uzushi sababu itajenga hofu
Na kama ni kweli ni vizuri kuwa na ushahidi hasa katika hizi zama kijiditali ambapo kila mtu anaweza kupiga picha akiwa mbali na kuleta habari yenye ushahidi kamili....
Foolish..!Kuna habari njema. JWTZ wamefikia sehemu ya tukio Ilala na wamewaokoa vijana waliokwama hapo.
Taarifa ni kwamba vijana Kama 80 wameokolewa.
Hongera sana kwa wote waliopaza sauti. Hongera kwa jeshi letu.
Vijana jilindeni hasa masaa ya usiku.
Hapo juu umesema who cares, acha wafe. Mbona huna msimamo ?Why not rush those thugs and hack them to death?
Vijana mko kwenu na mko wengi halafu mnaruhusu kufanyiwa hivyo?
Come on now.
Mbona unabisha tu? Au unataka vijana wapate shida?..kutengeneza hofu za kipumbavu tu..lengo ni vijana waone km wanatafutwa wajenge hofu ya kutoka!
..peleka kwenu hizo propaganda za kitoto!Mbona unabisha tu? Au unataka vijana wapate shida?
Nafikiri wewe ni sehemu ya wauaji. Huna lolote zaidi ya kutaka damu za Watanganyika...peleka kwenu hizo propaganda za kitoto!
Umechukia vijana kusaidiwa. Roho mbaya Huwezi kuificha.Foolish..!
Hiyo ilikuwa sarcasm…….unajua sarcasm ni nini?Hapo juu umesema who cares, acha wafe. Mbona huna msimamo ?
watakaoendelea kukujibu na kufuatilia unachosema ni wajinga km wewe!Umechukia vijana kusaidiwa. Roho mbaya Huwezi kuificha.
Hiyo ilikuwa sarcasm…….unajua sarcasm ni nini?