Vijana wanaomaliza kidato cha nne wanakaa sana mtaani

Vijana wanaomaliza kidato cha nne wanakaa sana mtaani

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Mwanafunzi anakaa mtaani,zaidi ya miezi saba. Hivi hii ni sahihi kweli!? Why wasianze,masomo mwezi wa pili? Sio sawa kabisa kwani,wengi hupotea hapo.. Maoni yenu.
 
Inafaa mtoto akimaliza 4m4..aende veta mwaka mmoja akajifunze ufundi wowote atakao penda kujifunza...iwe program maalumu ya serikali.

#MaendeleoHayanaChama
 
Sioni kama pana tatizo kwa wao kukaa mtaani, angalau wausome upepo wa Maisha ulivyo baada ya sulubu kubwa ya miaka kadhaa tangu wanazaliwa Nursery School 3years + Primary School 7 years + Secondary School 4 years

Maisha yanaenda kasi mno..
 
Watoto wakike ndio mwanzo wa kupewa mimba.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom