Dr Ismaily
JF-Expert Member
- Dec 24, 2016
- 289
- 552
Ni amri ya mungu tukaijaze dunia kwa hiyo kila mchezaji anatakiwa aingie na mtoto ili watu wakumbuke kuijaza dunia.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shughuli yao inaweza kuonekana ni ndogo lakini, ina umuhimu mkubwa sana kwa utamaduni wa soka na kisaikolojia pia.Jumapili njema kwa kila mmoja wetu.
Ndugu zangu Nina jambo naomba kuuliza ukitazama mechi za ulaya kuna wale watoto ambao wakati timu zinaingia uwanjani wanakuwa wameongoza wa wachezaji hadi ndani ya pitch.nataka kujua wale watoto wanafanya kazi gani?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu
Wanafanya kazi ya kuongozana na wachezajiJumapili njema kwa kila mmoja wetu.
Ndugu zangu Nina jambo naomba kuuliza ukitazama mechi za ulaya kuna wale watoto ambao wakati timu zinaingia uwanjani wanakuwa wameongoza wa wachezaji hadi ndani ya pitch.nataka kujua wale watoto wanafanya kazi gani?
Natanguliza shukrani za dhati kwenu
UtekajiBABA WA TAIFA MWALIMU NYERERE ALITUTAJIA MAADUI.
1. UMASIKINI
2.UJINGA.
3. MARADHI.
Akasema Hawa ni maadui wa kweli kweli katika hili Taifa.
LEO 2024 BAADA YA MIAKA 60 TUMEKUWA NA MAADUI WENGI ZAIDI.
2024 maadui wameongeseka Zaidi kuliko wale watatu wa 1961.
1.Umasikini na ufukara.
2.Ujinga na upumbavu.3.Magonwa na Maradhi
4.Mmomonyoko wa Maadili.
ushoga, usagaji Kamali, sugar mamy, sugar Dady mashangazi
5 AJIRA
5. Rushwa na Upendelo
6. USimba na u yanga.
7. Mitandao ya kijamii Tiktok, x, nk
8. Manabii wa uongo na Mashehe Uchwara.
9. Ajali nyingi mno.
10. Gharama kubwa za maisha, ujenzi holela nk
MAMBO NI MENGI SANA VIJANA WA KITANZANIA WANAWAZA MAMBO YA HOVYO SANA SIMBA NA YANGA ZINATAWALA MIKEKA NK.
OKOENI TAIFA LENU LEO.
MKIFIKA MBINGUNI MTAHOJIWA NA MUNGU MLILIFANYIA NINI TAIFA LENU NIMEMALIZA.
Watoto ni alama ya um
oja mshikamano na furaha