Vijana wanaosema wanatengeneza website bure ni matapeli

Nashukuru kwa kunifungua macho yaani hapa nilikuwa nasubiri logo ikamilike nimtumie kwenye whatsapp aendelee na kazi.
Usijaribu. Lazima uione ofisi yake kwa macho na umsainishe mkataba usimpe hela kama hajakamilisha. Password uibadilishe mapema
 
Wakuu kwa nini msiwe mnatumia Fiverr website? kuna wataalamu (freerancers) wazuri sana na huezi kutapeliwa, usiwaamini watanzania au wakenya kufanya nao kazi online bila kukutana nao physically utatapeliwa mchana kweupe, unaruhusuje mtu awe na access na domain yako?

msipende vitu virahisi, mnatamanishwa na vi easy price ili mpigwe kirahisi. Tumieni fiverr utafanyiwa kazi yako hata na mmarekani na utapata kitu kizuri utaridhika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…