Vijana wanasajili Bunifu Nchi Jirani

Vijana wanasajili Bunifu Nchi Jirani

Nilipata nafasi ya kwenda Sabasaba na maeneo mengine ya maonesho, kuna unafki mwingi Sana waku wahadaa wadhamini toka nje.

Kimbembe wakiondoka.
mtiti kwako mpokea fungu la uwezeshi.😂
Kama nakumbuka mshindi alipewa mil5 Tu 😂, can u imagine 5mii ,inakusaidia nn Zaidi ya kwenda Kula mbususu Tu 😂
 
Sasa vijana wafanyaje jamani kama wao serikali ndyo changamoto?
 
Back
Top Bottom