Blender JF-Expert Member Joined Mar 5, 2022 Posts 4,870 Reaction score 8,035 Oct 31, 2023 Thread starter #21 Lloyd Munroe said: Nilipata nafasi ya kwenda Sabasaba na maeneo mengine ya maonesho, kuna unafki mwingi Sana waku wahadaa wadhamini toka nje. Kimbembe wakiondoka. mtiti kwako mpokea fungu la uwezeshi.π Click to expand... Kama nakumbuka mshindi alipewa mil5 Tu π, can u imagine 5mii ,inakusaidia nn Zaidi ya kwenda Kula mbususu Tu π
Lloyd Munroe said: Nilipata nafasi ya kwenda Sabasaba na maeneo mengine ya maonesho, kuna unafki mwingi Sana waku wahadaa wadhamini toka nje. Kimbembe wakiondoka. mtiti kwako mpokea fungu la uwezeshi.π Click to expand... Kama nakumbuka mshindi alipewa mil5 Tu π, can u imagine 5mii ,inakusaidia nn Zaidi ya kwenda Kula mbususu Tu π
K kangesa JF-Expert Member Joined Jul 3, 2023 Posts 551 Reaction score 1,063 Oct 31, 2023 #22 Sasa vijana wafanyaje jamani kama wao serikali ndyo changamoto?