Street Hustler
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 2,175
- 4,299
Kiukweli hii Hali iliopo Sasa kwenye taifa hili n baya sana.
Taifa linakosa nguvu kazi hivihivi tumekuwa tukihitaji vibarua wa mashambani Cha ajabu vijana wa kiume huwapati wanapatikana wamama na wazee huku vijana wakishinda wanakula mirungu na pombe za buku wakipoza na korokoro la mchina.
Ukimpata kijana kazi ya Tsh 10,000/= kwasiku atakwambia uumlipe kati ya 30,000 - 50,000/= utamwambia nakuongezea elfu 5 atakataa hyo kazi mchana ukikutana nae atakuomba kwa maneno kibao umnunulie chakula na jioni akikukuta atakuomba umnunulia pombe ya buku wakati alikataa kazi ya 15k asubuh.
Nguvu kazi ya taifa imebaki kwa wamama na wazee wa 45-60yrs ndio tegemeo la kazi za nguvu na akili kwa taifa hili.
Inasikitisha sana kwa taifa letu hili hatusikii sauti za kuhamasishana kufanya kazi Bali tunasikia kauli za kuhamasishana kutumia pesa, hapa ndio tatizo linapoanzia yaan ingia social networks utakutana na maudhui machafu kamasio chafu ni lakijinga je hili nani alaumiwe kati ya .
1. Alieandika ujumbe
2. Anaemiliki chombo Cha habari
3. Chombo Cha kusimamia maudhui
Yaani wajinga wanapewa kipaza sauti waeneze ujinga wao huku wasomi na weledi wakikalia na kuzificha taaluma zao matakoni, hvi kama taifa hatuna mambo yakuelekeza vijana namna Bora ya kuisha na kufanya kazi?
Sikuhz utaona mtu anajirekod akiwa mtupu eti anataka kuwa maarafu alafu siku mbele unamuona kapewe jukumu huku mic na camera zikiwa mbele yake kama mtu maarufu na anaetazamiwa kuwa mfano wa jamii.
Wanasanaa kutengeneza maudhui yakijinga ya sio na maana Cha ajabu media nazo zinatoa coverage kweli?
Kama Sheria na taratibu zimerahisisha kuwa Kila Alie karibu na mic au camera asikike/kuoneka Bila kuchujwa basi ndugu zangu huku tunapoelekea ni kubaya sana.
Ni vigumu sana Kuona ushindani wa kibiashara kati ya makampuni ya simu, vileo, soda, sabuni, viwanda vya ndani Sasa tumekuwa taifa la kuletewa habari za pikipiki kweli?
Wenye macho lioneni hili, wale mliopewa nafasi fanyeni kweli kunusuru taifa hili vinginevyo taifa linakosa nguvu kazi kwakasi ndani ya miaka hii 10 jamani tuokoe taifa hili.
Niliwah Andika pia
Sisi n hatupendi kufanya kazi lakini tunataka tuwe napesa mfukoni je tutazipata vipi bila kufanya kazi tena sio kufanya kazi tuu bali n kwa... Mzembe, mvivu huona kila kitu anaonewa kwake kulalamika ndio silaha kuu na huyu ndo Mtanzania