Vijana wanawezeshwa vipi kujiajiri

Ili ufungue hiyo Freelancing, unahitaji app ya telegram ambayo unaiingiza kwenye simu au laptop au PC.

Hiyo App inapatikana kwenye window store au google store.
Nimedownload telegram x mkuu lakn bado inaandika web not available
 
Mkuu upepo wa pesa vipi watu wa fani ya statistics wanaweza kuwa na kazi za kufanya huko?
 
M nimejaribu izo link zote inagoma mr
Zinafanya mbona watu wengi wamejiunga ili mradi uwe na telegram kwenye simu ukishindwa copy link jitumia kama sms ya kawaida then iclick
 
Mkuu hivi kwa Free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…