Vijana wangu msiuache mfumo dume

Vijana wangu msiuache mfumo dume

na yule Chief wao mkuu anazidi kuwajaza ujinga, eeh, haki sawa, 50/50,
asukume mkokoteni kifua wazi kwanza then tuone uhaki sawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daaaah
 
Tolate!!!, Adam alikubali kula tunda akaungana na Eva, Sasa hivi wanaume wamekubali kusaidiwa majukumu yao na wake zao tayari wameungana na hiyo 50/50, imagine zamani kabla ya kuoa lazima mwanaume awe juu kiuchumi na aliandaa mazingira ya yeye kuwa kichwa cha familia ila Sasa kunawengine mpaka mahari na vitanda vinatoka kwa mwanamke Sasa hapo hiyo 50/50 kwanini isimuhusu? Nguvu ya mwanaume ya kufanya kazi sasa imehamishiwa kwa kusaidiwa na mwanamke kwa kiasi kikubwa kiasi cha kukubali 50/50 kwa matendo na maneno anasema sitaki 50/50.
 
50/50 isingekuwepo kama me wangejua nafasi zao na kadri siku zinavyosonga hali inazidi kuwa mbaya
 
mie napita ivi
niite jina.jpg
 
Tolate!!!, Adam alikubali kula tunda akaungana na Eva, Sasa hivi wanaume wamekubali kusaidiwa majukumu yao na wake zao tayari wameungana na hiyo 50/50, imagine zamani kabla ya kuoa lazima mwanaume awe juu kiuchumi na aliandaa mazingira ya yeye kuwa kichwa cha familia ila Sasa kunawengine mpaka mahari na vitanda vinatoka kwa mwanamke Sasa hapo hiyo 50/50 kwanini isimuhusu? Nguvu ya mwanaume ya kufanya kazi sasa imehamishiwa kwa kusaidiwa na mwanamke kwa kiasi kikubwa kiasi cha kukubali 50/50 kwa matendo na maneno anasema sitaki 50/50.
Umenena! Kabisa!
 
Mbaya zaidi wanataka me watumike km wanawake!!...ktk mambo yetu yale DSM na Arusha hali ni mbaya sana,........... na si kwamba ke wote wanakubali...... wanasikitika sana!....

agenda fiche ni ili wanawake wasizae sana!! wacheleweshwe!!! huu mpango haujawahi kufanikiwa ndo kwanzaaa africa ina paa ki dadi ya watu!
 
Mimi ni ruhusa kucheat hapa na pale lakini mke wangu akijaribu tu,ni kufukuza completely.
Endelea tu lkn iko siku utarogwa siku moja tu!!......na utarogwa tu! km unamaisha!!! lkn km raka moja daily!! mazogoloni huko.....! fukuza tu!!

kuna ile mke kupikia upepo huku amesimama!! tyres km zote!! migari km zote!! sasa ufukuze huyu aende wapi si unataka majanga mkuu?? tutakuokotea huko majalala ya msimbazi mchana kweupeee!
 
Back
Top Bottom