Vijana wangu msiuache mfumo dume

Vijana wangu msiuache mfumo dume

Hii hoja ni kamili 100%
Mpango wa Mungu ni kumfanya mume awe Juu
Amesema awe kichwa cha familia
mume atumie Jasho kupata mkate mezani
Ila mke ni msaidizi tu!

Katika Biblia
Mwanzo 3:16
Akamwambia mwanamke,
Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako;
kwa utungu utazaa watoto;
na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, NAYE ATAKUTAWALA.

Eti Leo Rais ni mwanamke aisee!!!
Spika nae wanataka awe mwanamke aisee
Hata mkuu wa Majeshi nae ni inshu ya muda tu!
Mungu atusamehe sana hii dhambi!

Marekani pamoja na yote wanajifanya kuwa wana uhuru ila kamwe mwanamke atabaki kuwa nafasi yake ile ile ya chini!
Hillary Clinton alikuwa na sifa zote za kuwa Rais
hiyo ikulu yenyewe ameishi
kashika nafasi nyingi tu nyeti

Ila kuliko USA awe mwanamke wanakaona ni
bora tu Rais awe Trump ambaye walijua huenda hana sifa zozote zile!
coz kwao Urais ni Taasisi na sio sisi huku ambao
Urais ni mtu!

Kifupi hii dhambi imeingia hadi makanisani
Wanawake sasa wanasimama kuhubiri na wana vyeo ndani ya makanisa yao!
Japo mie ni mkristo ila
Hapa Islam itabaki kuwa dini yenye hadhi
Kwa kutambua nafasi ya mwanamke
wanaitekeleza kwa vitendo!

sio sisi wanafiki tunafanya mambo ili Jamii itusifu, ilihali tunajua kabisa kuwa ni kosa mbele ya Mungu.
 
Naunga mkono hoja walaqhi', wanaume wajitahidi kubaki kwenye nafasi zao, uanaume umechezewa sana hivi sasa, umedharaulika mno, ile heshima ya kiume imetoweka kwa kasi, nawahurumia mno watoto wetu wa kiume, Mungu atusaidie kiukweli..!
Hutakiwi kuwa hurumia sana wanaume bali hurumia kizazi kinacho tengenezwa na huu mfumo 50/50,sababu kitakuwa kizazi kisichojali, kisichojua nini maana ya ndoa, kizazi kitakachojaa ubinafsi, kizazi cha kushindana kwenye familia na kizazi kitakachokuwa na single parents wengi kuliko ndoa.
 
Mke wangu hayupo hivyo, alianza kuleta hizi mambo nikamnyoosha mapema mno.
Anajipanga huyo... ..ishi Naye kwa akili Mara mbili maanaa keshaona upo na mtizamo gani.. .

Kuna jitihada kubwa sana za kuvunja misingi na desturi zetu mpaka kwenye dini.

Sasa karibu tutaanza kuogopana MKE na mume ...wazazi na watoto..ndugu kwa ndugu....

M/Munngu atuepushe ..
 
Mbaya zaidi wanataka me watumike km wanawake!!...ktk mambo yetu yale DSM na Arusha hali ni mbaya sana,........... na si kwamba ke wote wanakubali...... wanasikitika sana!....

agenda fiche ni ili wanawake wasizae sana!! wacheleweshwe!!! huu mpango haujawahi kufanikiwa ndo kwanzaaa africa ina paa ki dadi ya watu!
Wapuuzi hawa waasisi wa huu mpango wa haki sawa
 
Mwanaume kamili inabidi awe na msimamo huu. NAFURAHI BADO TUPO WANAUME KAMILI HATA KATIKA UPUMBAVU MWINGI WA HAKI SAWA UNAOPIGIWA DEBE KILA KONA. Uwe hai ukastawi sana mkuu
Nawe pia kaka! Ahsante sana, tupambanie maslahi ya baadaye ya vijana wetu wa kiume.
 
Hutakiwi kuwa hurumia sana wanaume bali hurumia kizazi kinacho tengenezwa na huu mfumo 50/50,sababu kitakuwa kizazi kijichojali, kisichojua ninu maana ya ndoa, kizazi kitakachojaa ubinafsi, kizazi cha kushindana kwenye familia na kizazi kitakachokuwa na single parents wengi kuliko ndoa.
Ushauri sahihi kwa wakati sahihi.
 
Anajipanga huyo... ..ishi Naye kwa akili Mara mbili maanaa keshaona upo na mtizamo gani.. .

Kuna jitihada kubwa sana za kuvunja misingi na desturi zetu mpaka kwenye dini.

Sasa karibu tutaanza kuogopana MKE na mume ...wazazi na watoto..ndugu kwa ndugu....

M/Munngu atuepushe ..
Ahsante kwa kunikumbusha hilo mkuu! Tuna nafasi ya kurekebisha, hatujafikia point of no return!
 
Hii hoja ni kamili 100%
Mpango wa Mungu ni kumfanya mume awe Juu
Amesema awe kichwa cha familia
mume atumie Jasho kupata mkate mezani
Ila mke ni msaidizi tu!

Katika Biblia
Mwanzo 3:16
Akamwambia mwanamke,
Hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako;
kwa utungu utazaa watoto;
na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, NAYE ATAKUTAWALA.

Eti Leo Rais ni mwanamke aisee!!!
Spika nae wanataka awe mwanamke aisee
Hata mkuu wa Majeshi nae ni inshu ya muda tu!
Mungu atusamehe sana hii dhambi!

Marekani pamoja na yote wanajifanya kuwa wana uhuru ila kamwe mwanamke atabaki kuwa nafasi yake ile ile ya chini!
Hillary Clinton alikuwa na sifa zote za kuwa Rais
hiyo ikulu yenyewe ameishi
kashika nafasi nyingi tu nyeti

Ila kuliko USA awe mwanamke wanakaona ni
bora tu Rais awe Trump ambaye walijua huenda hana sifa zozote zile!
coz kwao Urais ni Taasisi na sio sisi huku ambao
Urais ni mtu!

Kifupi hii dhambi imeingia hadi makanisani
Wanawake sasa wanasimama kuhubiri na wana vyeo ndani ya makanisa yao!
Japo mie ni mkristo ila
Hapa Islam itabaki kuwa dini yenye hadhi
Kwa kutambua nafasi ya mwanamke
wanaitekeleza kwa vitendo!

sio sisi wanafiki tunafanya mambo ili Jamii itusifu, ilihali tunajua kabisa kuwa ni kosa mbele ya Mungu.
Acha inyeshe tuone panapovuja!
 
Nadhani ni wakati umefika wa kuanzisha kampeni ya kumkomboa Mtoto/kijana wa kiume.. tumeng'ang'ania kumkomboa mwanamke(kwa usawa wa kijinsia) huku mtoto wa kiume akitelekezwa na kuisahau nafasi yake katika familia na jamii kwa ujumla.

Matokeo yake kwa sasa ndo hayo ya Ushoga, Umarioo, ulevi wa kupindukia ,kamari ,kutelekezwa kwa familia n.k

Japo binafsi sii muumini wa vipigo kama njia ya kumrekebisha mtu ila naamini katika nafasi ya baba kama kiongozi wa familia.

Wito: kwa nafasi tulizonazo tusione aibu kuliongeelea na kukemea hili
 
Je kwa sisi tuliokosea kuoa tuna comment wapi.

Ukipiga chini uanze upya unawaonea huruma watoto wako watakuwa single mothers. Mimi nadhani suala la uanaume wako lipo kwenye mind zaidi.
 
Back
Top Bottom