Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaaaaIna maana jeshi la akiba la wanajeshi laki 3 ni pamoja na RAIA?
Kweli Putin ni mwehu Sana,kumbe jeshi lenyewe anaokoteza panya road
Kwahiyo familia yake haijapigwa sanctions mpaka wawe Paris???Ni upumbavu yaani ukafe kwa ajili ya putin, huku watoto wake wapo Paris wanakula baata.
Waanze kutoa watoto wao kwanza
Nani kamchokoza mwenzake hapoKwahiyo familia yake haijapigwa sanctions mpaka wawe Paris???
Nways,Mke na watoto wa Zelensky wako wapi wakati watoto wa wengine wanaokufa huko Frontline? Zelensky aanze kupeleka familia yake kwanza huko Frontline!
Wanaweweseka saana mashabiki wa putinKila kitu mnaita propaganda.
Awali zilipotoka taarifa za Urusi kuzidiwa na majeshi ya Ukrain mlisema propaganda.
Leo vijana wa kirusi Wana haha kukwepa kwenda kupigana mnasema propaganda.
Tuache ushabiki.
Wewe unahisi nani kamchokoza mwenzake?Nani kamchokoza mwenzake hapo
Ni ngumu saana mkuuPutin anahaha vibaya. Kuokoteza watu mitaani ili kuwatupa kwenye battle field ni jambo la ajabu sana kwa nchi kama ya Russia.
Kama wanajeshi full wamekimbia, hao raia wataweza?
Mwenye nguvuWewe unahisi nani kamchokoza mwenzake?
Ni kama hapa Tz waanzae kuita waliopitia JKT na mgambo. Hawa ndio askari wa akibaIna maana jeshi la akiba la wanajeshi laki 3 ni pamoja na RAIA?
Kweli Putin ni mwehu Sana,kumbe jeshi lenyewe anaokoteza panya road
Umepiga penyewe, Russia kuna mizizi ya rushwa na kujuana.Shida, matatizo iliyonayo serikali ya Russia hayapishani sana na shida zilizopo serikali nyingi zilizoundwa baada ya ukoloni, hasa hasa serikali zinazopatikana kusini mwa jangwa la Sahara. Kuna shida kubwa ya serikali kuwa na taasisi dhaifu kupitiliza.
mfano halisi ni kwenye hichi putini alichoita partial mobilization- huenda ikawa ndicho putin alichoongea na watendaji wake shida inakuja watekelezaji wana undugu na ulaji rushwaa wa hali ya juu kabisa, kama hivyo hivyo Putin alivyokuwa mtu wa deal (NA INASEMEKANA PUTIN HUENDA AKAWA NUMBER MOJA KWA UKWASI MKUMBWA HAPA DUNIANI) hivyo wale ambao walitakiwa kuitwa kukwepa kwa sababu ya kujuana au kuhonga rushwa kwa wahusika. Hivyo ili kubalance wanaitwa wanyonge, wasio na connection na muhimu zaidi wale waonekanao kama maadui wa kisiasa.
Mbaya zaidi hamna mahala pa kushitaki kwa sababu mahakamani mambo ni yale yale.
Alafu unakuta watu wanapambania kabisa urrusi ishinde
Zifike 30 tu.Dawa ni kuongeza HIMARS zifike 100 tuone itakuwaje.
Kujiunga jeshini kwa utashi binafsi na kujiunga kwa kulazimishwa ni viwili tofauti.Hii dunia vituko haviishi
Vijana wa Tanzania hupigana vikumbo kila ikitokea fursa za kujiunga na Jeshi kila mmoja akitaka apate nafasi
Urusi mambo ni tofauti maelfu ya Wanaume wako mpakani mwa Finland, Sweden, German na Gorgia wakikimbia kuingizwa Kwenye Jeshi la akiba
Niko nafuatilia al jazeera news
Jumaa kareem!