Vijana Warusi wameapa kujijeruhi ili kuepuka kuburuzwa kwenda vitani

Mtaswagwa kinguvu tu! Omba Mungu apishe mbali!
 
Kuna tofauti kujiunga na jeshi huku vita ikiendelea, na huku amani imetawala
 
Story za kutengeneza. Marekani na vibaraka wake mnahangaika sana kutengeneza vihabari vya uongo uongo ili tu
Umeshindwa hata kugoogle kidogo tu ili ujiridhishe kabla hujaandika haya? Huu uvivu ni tatizo kubwa
 
Huu mkakati wa dikteta Putin utafeli vibaya, huwezi ukawachukua watu wasio na ari ya kupigana ukawapeleka eti wakupiganie ukitegemea kwamba mambo ndio yataenda kama ulivyopanga.

Kwa sasa Marekani na washirika wake wanasoma tu kinachoendelea na mkakati huu wa Putin na tayari wenyewe wana jibu la kitakachotokea.

Zile Himars za masafa marefu za kilomita 300 pamoja na ndege za kivita za F-15 na F-16 ndio zinapangiwa utaratibu wa kupelekwa Ukraine kabla ya majira ya baridi kuanza na maaskari wake ndio wanakaribia kukamilisha mafunzo huko Marekani.

Huenda vita hii vikaandika historia ya kuwa na wanajeshi wengi zaidi wa kujisalimisha kwani hao askari wa akiba hawawezi kufaulu pale waliposhindwa wale professionals.
 
Huu mkakati wa dikteta Putin utafeli vibaya, huwezi ukawachukua watu wasio na ari ya kupigana ukawapeleka eti wakupiganie ukitegemea kwamba mambo ndio yataenda kama ulivyopanga.
Hii vita inazidi kumfunua Putin. The man is overated. Hana maajabu

Hao wanaoandikishwa kwa nguvu ili wapelekwe vitani wataenda kuwa mzigo kwa wanajeshi OG na mwisho wa siku wanaweza kuuana wenyewe kwa wenyewe.

Kinachotokea Russia ni meseji tosha kwa Putin kwamba majority hawapo tayari kuingia front kupigana vita kwenye vita ya kipuuzi ambayo raia hawaelewi hata kwa nini ilianzishwa
 
Umenena vyema
 
Halafu watoto WA masikini wakiomba kazi jeshini wanaambiwa kazi hamna Ila vita zikija battle front wao ndio wanataka kuwatoa watoto WA walala Hoi wakawe kama kafara huko , upuuz sana
 
Endelea na mihangaiko yako ya Urusi huyawezi
 
Una upungufu wewe, kwahiyo Putin hakusign kutaka watu wajiunge na jeshi? Watu hawalazimishwi kujiunga na jeshi?
Zelensky anapelekea Moto kenge wakirusi balaa , I can't imagine Lockheed Martin wakishusha F-15 bombers na kuongeza Long range Himars , supapoor lazima aharishe
Supapoor WA mchongo karecruit mpaka wafungwa naona wameisha wanachinjwa tu na javelins huko sasa anataka kafara za raia
 
Mleta mada utapata tabu saana usipojiandaa kisaikolojia. Haya mambo si lelemama!
=====
Because of the recent failures of Russian forces in the Kharkiv direction, Ukraine’s constant attacks on militia’s positions in the Donetsk People’s Republic, and the ongoing military assistance from Western countries to Kiev, Putin has no choice but to declare mobilization.

Despite the expected increase in discontent among part of the population with the need to take part in this war, even in Ukraine they are forced to admit that the situation may change drastically in the very near future. Ukrainian telegram channels publish videos of large queues of people who came to the military registration and enlistment offices after receiving summonses. The few stories about men allegedly being illegally arrested in broad daylight on the streets of Russian cities turned out to be fake.

In the Belgorod region, whose residents are regularly subjected to shelling from Ukraine, the turnout at the commissariats exceeded 80 percent in the first days of the mobilization. Volunteers, who have been helping the military since the early days of the war by purchasing and delivering everything they need, come to the assembly points themselves and share their impressions: there is a fighting spirit and no panic. There are also volunteers who came without any summons.


Obtaining uniforms for the mobilized
There are a lot of videos videos in social networks from different Russian regions showing the departure of the first groups of mobilized citizens. A lot of volunteers who ame to the commissariat without waiting for the summons were interrogated by the media:
 
Jeshini huwa patamu kipindi cha amani, unavaa full jungle magwanda kama yote na kutamba uraiani watu wanakuona Rambo, ila subiri mbiu ya mgambo ya kwenda vitani iite, utatamani ujifiche kwa bibi kijijini....
😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…