Vijana wasio na ajira wanajipa moyo sana kuhusu ushindi kwa wapinzani

Vijana wasio na ajira wanajipa moyo sana kuhusu ushindi kwa wapinzani

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Nimeamka asubuhi nimecheka sanà.

Naona vijana wasio na kazi wanavyohangaika kila kona kutupia post za ushindi kwa wapinzani so sad wakiwa na matumaini ambayo hayapo.

Poleni sana msiteseke kamwe chama CCM pekee hao watapiamlo wanapambana sababu ya msosi wa watoto zao.

Uamini someni nyakati kwanini mzee kaambiwa tulia muachie kijana ajaribu

Msikate tamaa la maana fanyeni kazi msitegemee sana ajira za siasa hazinaga msimamo ukiisha uchaguzi mnatemwa.
 
Shuleee kaka shuleeee
Uaminii nendaaa Angalia yalemakundi ya airport
ASILIMIA 60 awapigi kura wechota wahuni kila konaa so sad
LA maana tuwaombeee NAAMINI wapoo watakaojiua wakisikia matokeoo ya ubunge....uraisi hukoo hata hayaa hamna maana siwafikirii hata kidogooo

Unaweza ukajidanyana na ukaji shawishi kuwa unacho kisema ni kweli. Kama ilishindikana 2015 kwa Lowassa, leo inawezekani kivipi? waambie wapunguze kuona uwongo ndio kweli.
 
Kwenye elimu ya ujasiliamali kuna somo linaitwa 'the entrepreneur and his enviroment' mjasiliamali na yanayomzunguka huanzia nyumbani hadi kimataifa mazingira ya bishara yamekuwa magumu kutokana na mzunguko wa fedha kuto kuwepo ambao msingi wake ni sera.ambazo hazitabiriki sera za majukwaani 'uncertaninty polcy' you can not plan business growth with uncertanity policy
 
Sasa basi tumechoka Sundi kupewa uofisa wa madini huku akiwa hakidhi vigezo.

Sasa basi tumechoka ndugu zetu kupotezwa.

Sasa basi tumechoka kuhujumiwa nawatu wanaonunua vivuko vibovu,tukisema wanavipeleka jeshini ili tusivizungumzie.

Sasa basi tumechoka ndugu zetu kushambuliwa namvua za risasi mchana kweupe.

Sasa basi muda wa mashekhe kumbambikiziwa kesi za ugaidi, kisa wanadai haki za muungano wa Zanz&Tanganyika.

Sasa basi keki ya taifa niyetu sote, sio yandugu na jamaa tu wa muheshimiwa mtukufu.

Sasa basi, tunamechokwa kuporwa korosho zetu.

Sasa basi tumechoka wabadhirifu kama Lugola kubaki uraiani huku wazakendo kama Kabendera walienda soteshwa rumande bila kosa.

Sasa basi tumechoka ndugu zetu Kama Been,Azory, Kaguye kupotezwa kisa wanatetea maslahi ya uma.

Sasa basi tumechoka watu watiifu na wazalendo Kama Prof Assad kutolewa ndani ya ofisi za uma, huku katiba ikivunjwa waziwazi.

Sasa basi tumechoka kuporwa fedha za maafa ya tetemeko huko Kagera.

Sasa basi tumechoka nyumba za uma kuuzwa bila maelezo yakueleweka na kuuziwa ndugu najamaa .

Sasa basi tumechoka kubaguliwa kuwa wale wavunjiwe Hawa waachwe kisa walinipa Kura 2015.

Sasa basi tumechoka demokrasia kukadamizwa, Sasa basi tumechoka ccm kufanya mikutano peke yao huku tumeccm ikishuhudia.

Sasa basi tumechoka kubambikiziwa makosa ya uhujumu uchumi kisa hatuungi mkono juhudi za mtukufu.

Sasa basi tumechoka kudanganywa zilipo usd tril 191 za makinikia tulizoambiwa na Prof Muruma, huku huku tukipewa kishakuuchumba Cha Usd 300Mil, na matrilioni yetu tukiacha yapotee, nahuku tukirudia kuruhusu makinikia yasafilishwe, nahata bila kujengewa smelters.

Sasa basi tumechoka kunyanyaswa na kutishiwa bibi zetu kupigwa kule Ruangwa.

Sasa basi tumechoka kuporwa fedha zetu za korosho.

Sasa basi tumechoka kama wafanyakazi kutopandishiwa madaraja na mishahara kwa muda wa miaka 5.

Sasa basi tumechoka wakandarasi wandani kutolipwa fedha zetu, hasa katika mradi wa SGR.

Sasa basi kama vijana tunahitaji ajira, tangu 2015 hapajawahi kuwa na ajira ndani ya nchi yetu.

Sasa basi saa ya ukombozi imefika na muongoza Jahazi ni the Great TUNDU ANTIPASI MUGWAI LISSU.
Andika barua ya malalamiko anzia kata UKIONA autendewi haki peleka wilaya UKIONA nako ushawishiwi peleka mkoaa huku tutakusaidia zaidi
Anzia hukochini tujue tunaanzia wapii malalamiko yakoo
 
Mkuu CCM. OYEEE
CCM SIO CHAMA CHAMITANDAONI BANA
 
Mkuu CCM. OYEEE
CCM SIO CHAMA CHAMITANDAONI BANA

CCM INA WENYEWE
 
Mimi nina ajira rasmi, tena mtumishi, na nina matumaini na ushindi wa upinzani. Nitapiga kura na nitatimiza wajibu wangu ikiwa nitapata nafasi ya kusimamia uchaguzi kwenye kituo chuchote. Ewe mwenyezi Mungu nisaidie.
 
Andika barua ya malalamiko anzia kata UKIONA autendewi haki peleka wilaya UKIONA nako ushawishiwi peleka mkoaa huku tutakusaidia zaidi
Anzia hukochini tujue tunaanzia wapii malalamiko yakoo
Barua
Eti barua.
 
Nimeamka asubuhi nimecheka sanà.

Naona vijana wasio na kazi wanavyohangaika kila kona kutupia post za ushindi kwa wapinzani so sad wakiwa na matumaini ambayo hayapo.

Poleni sana msiteseke kamwe chama CCM pekee hao watapiamlo wanapambana sababu ya msosi wa watoto zao.

Uamini someni nyakati kwanini mzee kaambiwa tulia muachie kijana ajaribu

Msikate tamaa la maana fanyeni kazi msitegemee sana ajira za siasa hazinaga msimamo ukiisha uchaguzi mnatemwa.
Mkuu we endelea kucheka ila tukutane Octob
 
CCM acheni woga, acheni demokrasia ifanye kazi mtaona nguvu ya umma iliyo nyuma ya CDM.
 
Mkuuu
CCM AWAJIBU MITANDAON
WANAJIBU KWA MOTO OCTOBER
 
Mkuuu
CCM AWAJIBU MITANDAON
WANAJIBU KWA MOTO OCTOBER
 
Back
Top Bottom