Vijana wasio na ajira wanajipa moyo sana kuhusu ushindi kwa wapinzani

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
62,101
Reaction score
38,487
Nimeamka asubuhi nimecheka sanà.

Naona vijana wasio na kazi wanavyohangaika kila kona kutupia post za ushindi kwa wapinzani so sad wakiwa na matumaini ambayo hayapo.

Poleni sana msiteseke kamwe chama CCM pekee hao watapiamlo wanapambana sababu ya msosi wa watoto zao.

Uamini someni nyakati kwanini mzee kaambiwa tulia muachie kijana ajaribu

Msikate tamaa la maana fanyeni kazi msitegemee sana ajira za siasa hazinaga msimamo ukiisha uchaguzi mnatemwa.
 
Shuleee kaka shuleeee
Uaminii nendaaa Angalia yalemakundi ya airport
ASILIMIA 60 awapigi kura wechota wahuni kila konaa so sad
LA maana tuwaombeee NAAMINI wapoo watakaojiua wakisikia matokeoo ya ubunge....uraisi hukoo hata hayaa hamna maana siwafikirii hata kidogooo


Unaweza ukajidanyana na ukaji shawishi kuwa unacho kisema ni kweli. Kama ilishindikana 2015 kwa Lowassa, leo inawezekani kivipi? waambie wapunguze kuona uwongo ndio kweli.
 
Kwenye elimu ya ujasiliamali kuna somo linaitwa 'the entrepreneur and his enviroment' mjasiliamali na yanayomzunguka huanzia nyumbani hadi kimataifa mazingira ya bishara yamekuwa magumu kutokana na mzunguko wa fedha kuto kuwepo ambao msingi wake ni sera.ambazo hazitabiriki sera za majukwaani 'uncertaninty polcy' you can not plan business growth with uncertanity policy
 
Andika barua ya malalamiko anzia kata UKIONA autendewi haki peleka wilaya UKIONA nako ushawishiwi peleka mkoaa huku tutakusaidia zaidi
Anzia hukochini tujue tunaanzia wapii malalamiko yakoo
 
Mkuu CCM. OYEEE
CCM SIO CHAMA CHAMITANDAONI BANA
 
Mkuu CCM. OYEEE
CCM SIO CHAMA CHAMITANDAONI BANA

CCM INA WENYEWE
 
Mimi nina ajira rasmi, tena mtumishi, na nina matumaini na ushindi wa upinzani. Nitapiga kura na nitatimiza wajibu wangu ikiwa nitapata nafasi ya kusimamia uchaguzi kwenye kituo chuchote. Ewe mwenyezi Mungu nisaidie.
 
Andika barua ya malalamiko anzia kata UKIONA autendewi haki peleka wilaya UKIONA nako ushawishiwi peleka mkoaa huku tutakusaidia zaidi
Anzia hukochini tujue tunaanzia wapii malalamiko yakoo
Barua
Eti barua.
 
Mkuu we endelea kucheka ila tukutane Octob
 
CCM acheni woga, acheni demokrasia ifanye kazi mtaona nguvu ya umma iliyo nyuma ya CDM.
 
Mkuuu
CCM AWAJIBU MITANDAON
WANAJIBU KWA MOTO OCTOBER
 
Mkuuu
CCM AWAJIBU MITANDAON
WANAJIBU KWA MOTO OCTOBER
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…