Vijana wasomi msio na ajira maisha hayapo Bongo tu. Unaweza kuzamia nchi jirani ukaishi vizuri. Dunia yote ya Mola mipaka ipo ili kuleta utulivu

Vijana wasomi msio na ajira maisha hayapo Bongo tu. Unaweza kuzamia nchi jirani ukaishi vizuri. Dunia yote ya Mola mipaka ipo ili kuleta utulivu

Kama unajua kiingereza vizuri utaishi fresh huku ukijifunza taratibu kinyanja na kibemba. Hizo lugha mbili zinashea maneno mengi sana na kiswahili hasa kinyanja. Mimi naona Zambia iko nyuma karibu kila kitu kulinganisha na Tanzania. Kwenye masoko ya Lusaka wamejaa sana wabongo.
Kitwe ndo wengi
 
Back
Top Bottom