HapanaWewe upo Zambia?
Qualification ganiMkuu nipo Kazungula boarder nipe connection..
+260774270349
Wanapotosha watoto π€£π€£π€£π€£Walimu wa Tanzania hawana soko duniani Kwa sababu kiingereza kwao ni tatizo.
π€£π€£π€£π€£ Alooo.!! Nimecheka km mwehu.Hawa hawa walimu wanaofundisha kiingereza kwa kiswahili?
Jirani nenda hata Burundi basi πBora hapa hapa nyumbani kuna ahueni
ZRA hawachukui mapato? JICHANGANYEKwa Zambia na Congo viatu vinalipa sana....Kuna mcongo anafataga mizigo bongo alinambia huku mnabanwa sana wao TRA ya kule kwao chanzo kikuu Cha mapato madini....yeye alifanya biashara miaka mitatu hakulipa kodi
Njoo unisaidie kuvuna πππNaomba connection mkuu mm jobless
Kuvuna nn, mchicha shambani auNjoo unisaidie kuvuna πππ
Kitwe ndo wengiKama unajua kiingereza vizuri utaishi fresh huku ukijifunza taratibu kinyanja na kibemba. Hizo lugha mbili zinashea maneno mengi sana na kiswahili hasa kinyanja. Mimi naona Zambia iko nyuma karibu kila kitu kulinganisha na Tanzania. Kwenye masoko ya Lusaka wamejaa sana wabongo.
MahindiKuvuna nn, mchicha shambani au
Wewe hakuna ulilowahi kutimiza toka umeanza kuomba muongozo humu π€£π€£Nakumbuka mwaka jana mwezi wa kumi nilipanga safari ya kwenda zambia kutafuta maisha ila safari yangu iliishia tunduma mpakani nikageuza. Bro Isanga family alinipa ushirikiano sana aisee. Zambia lazima nitaenda ni swala la muda tuu.
Safi kama unajihusisha na kilimo, ww n mke mvumilivu πMahindi
Nikafanyeko nini huko burundi?Jirani nenda hata Burundi basi π
πππ kama kweli vile, ila safari hii lazima kieleweke.Wewe hakuna ulilowahi kutimiza toka umeanza kuomba muongozo humu π€£π€£
Namaanisha congo TRA yao focus kubwa ya mapato ni kwenye madiniZRA hawachukui mapato? JICHANGANYE
Ukilima mahindi unakuwa mwanamke mvumilivu?? πSafi kama unajihusisha na kilimo, ww n mke mvumilivu π
Ukatafute pesaNikafanyeko nini huko burundi?