Vijana wasomi wanapitia wakati mgumu maisha baada ya vyuo

Joined
Oct 30, 2018
Posts
35
Reaction score
62
Maisha baada ya chuo ni magumu sana, mtu unaweza kuwa unajitafutia riziki mfano boda boda unakutana na disappointments nyingi.

Kuna watakaokwambia kuwa umesoma Kwa ajili gani na unafanya kazi duni lakini watawala watatuita maafsa, ila yote ya yote ni kufocus na kujituma ukiwa unasubiri miujiza ya Mwamposa.

Nje ya box
 
Labda ndiyo kupima iwepo walienda chuo kusoma au kuchukua shahada.
 
Maisha baada ya chuo ni magumu sana, mtu unaweza kuwa unajitafutia riziki mfano boda boda unakutana na disappointments nyingi.

Kuna watakaokwambia kuwa umesoma Kwa ajili gani na unafanya kazi duni lakini watawala watatuita maafsa, ila yote ya yote ni kufocus na kujituma ukiwa unasubiri miujiza ya Mwamposa.

Nje ya box

Kwa kweli
 
Mkuu upo sahihi, nakumbuka nilipomlza chuo mara ya kwanza nilifanya kazi ya kuchimba mchanga na kuuza, tupambane mkuu hii dunia haina huruma, mtu pekee wa kuangalia maisha yako ni ww mwenyewe.
 
Jina lako Linaogopesha mkuu Ila ujumbe mzur kutoka Kwako..
 
Wengine ndo tunakula, tunalala na kusindikiza jua.
Maana kusubiri kufa ni kazi, ya dunia yatajua yenyewe.
 
Back
Top Bottom