Gilbert Prudence
Member
- Oct 30, 2018
- 35
- 62
Maisha baada ya chuo ni magumu sana, mtu unaweza kuwa unajitafutia riziki mfano boda boda unakutana na disappointments nyingi.
Kuna watakaokwambia kuwa umesoma Kwa ajili gani na unafanya kazi duni lakini watawala watatuita maafsa, ila yote ya yote ni kufocus na kujituma ukiwa unasubiri miujiza ya Mwamposa.
Nje ya box
Mkuu upo sahihi, nakumbuka nilipomlza chuo mara ya kwanza nilifanya kazi ya kuchimba mchanga na kuuza, tupambane mkuu hii dunia haina huruma, mtu pekee wa kuangalia maisha yako ni ww mwenyewe.
Mkuu upo sahihi, nakumbuka nilipomlza chuo mara ya kwanza nilifanya kazi ya kuchimba mchanga na kuuza, tupambane mkuu hii dunia haina huruma, mtu pekee wa kuangalia maisha yako ni ww mwenyewe.