Vijana watembea kilometa 1000 kwa miguu kuonesha uzalendo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Vijana wameonesha uzalendo kwa kutembea kwa miguu kutoka Dar es Salaam hadi Kagera kuhudhuria kilele cha mbio za Mwenge na kumuenzi Baba wa Taifa.

Vijana hao wametumia siku 30 kufika Kagera na wametambulisha mbele ya Rais katika maadhimisho ya siku ya kumbukizi ya kifo cha Mwalimu Nyerere ambayo imefanyika Kagera
 
Ndio maana sipendi hesabu

1000km/30siku=33.33333 kwa kila mmoja

33.33333km/siku 30 = Kilometer 1.017 anazotembea kwa siku

Ukichukia Km 1.017/Masaa 24 unapata mita 42

Uzalendo unakufanya utembee UMBALI mfupi tofauti na hata na watoto wanatembea zaidi ya KM 10 kila siku kufuata shule au wale wamama wanofuata maji

Tujipange jaman bora kuendelea na Ujenzi wa shule shikizi

Tunaipongeza Serikali kuliko haya matembezi ya kizalendo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kweli sio hupendi hesabu ... Hata hesabu hujui kbsa... Na hata uwezo wako wa kufikiria tuna mashaka nao...
 
Ndio maana sipendi hesabu

1000km/30siku=33.33333 kwa kila mmoja

33.33333km/siku 30 = Kilometer 1.017 anazotembea kwa siku

Ukichukia Km 1.017/Masaa 24 unapata mita 42

Uzalendo unakufanya utembee UMBALI mfupi tofauti na hata na watoto wanatembea zaidi ya KM 10 kila siku kufuata shule au wale wamama wanofuata maji

Tujipange jaman bora kuendelea na Ujenzi wa shule shikizi

Tunaipongeza Serikali kuliko haya matembezi ya kizalendo

hesabu pia haikupendi
 
Vijana wameonesha uzalendo kwa kutembea kwa miguu kutoka Dar es Salaam hadi Kagera kuhudhuria kilele cha mbio za Mwenge na kumuenzi Baba wa Taifa.

Vijana hao wametumia siku 30 kufika Kagera na wametambulisha mbele ya rais katika maadhimisho ya siku ya kumbukizi ya kifo cha mwalimu Nyerere ambayo imefanyika Kagera
Hahaha uzalendo wa mwenge?
Taifa limenufaika kitu gani?

Bora wale wa mbio za baiskeli walikuwa wanachangisha madawati
 
Matoborwa nayo ni mboga..ujinga ni kipaji....kilimo cha Matikiti kinalipa huko Mpanda
 
Ndio maana sipendi hesabu

1000km/30siku=33.33333 kwa kila mmoja

33.33333km/siku 30 = Kilometer 1.017 anazotembea kwa siku

Ukichukia Km 1.017/Masaa 24 unapata mita 42

Uzalendo unakufanya utembee UMBALI mfupi tofauti na hata na watoto wanatembea zaidi ya KM 10 kila siku kufuata shule au wale wamama wanofuata maji

Tujipange jaman bora kuendelea na Ujenzi wa shule shikizi

Tunaipongeza Serikali kuliko haya matembezi ya kizalendo
Bro hesabu zako ni hatari....

Yaani unagawa KM 1000 kwa 30 halafu tena kwa 30. why? mbona hesabu kama hauna ukaribu nayo?
 
Hakuna kijana mwenye akili timamu akafanya hivyo..hao wamelipwa na chama cha kijani kama moja ya propaganda zao za kijamaa zilizopitwa na wakati.

#MaendeleoHayanaChama
 
Naona hadi Mh raisi amewapongeza kwa kutembea kwa mguu toka dar hadi kagera.
Kuna maswali mengi najiuliza.
Ikiwemo kama gari tu linatumia karbia siku 2.
Je kwa miguu na njiani kuna wanyama hatarishi??
Au wakifika mlandizi wanakwea ndinga kisiri siri????

Nawasilisha.
 
Chenga tupu , wangatangaza walipokuwa wanatoka DSM , na kila kituo wakifika wanatoa update ili tuamini , hao ni wadangaji kama wadangaji wengine
 
Naona hadi Mh raisi amewapongeza kwa kutembea kwa mguu toka dar hadi kagera.
Kuna maswali mengi najiuliza.
Ikiwemo kama gari tu linatumia karbia siku 2.
Je kwa miguu na njiani kuna wanyama hatarishi??
Au wakifika mlandizi wanakwea ndinga kisiri siri????

Nawasilisha.
Story tu wanatembea mchana usiku wanapanda toy

USSR
 
Kama kutembea km 33 kwa siku ni uzalendo mm nitakuwa mzalendo wa kiwango cha juu sana nchi hii.
 
Back
Top Bottom