Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kukosa kazi.Mambo ya kizamani haya
Hesabu ni mkweo endelea kumuogopa.Ndio maana sipendi hesabu
1000km/30siku=33.33333 kwa kila mmoja
33.33333km/siku 30 = Kilometer 1.017 anazotembea kwa siku
Ukichukia Km 1.017/Masaa 24 unapata mita 42
Uzalendo unakufanya utembee UMBALI mfupi tofauti na hata na watoto wanatembea zaidi ya KM 10 kila siku kufuata shule au wale wamama wanofuata maji
Tujipange jaman bora kuendelea na Ujenzi wa shule shikizi
Tunaipongeza Serikali kuliko haya matembezi ya kizalendo
Hizo hesabu za wapi? Umeshagawanya km 1000 kwa siku 30 ukapata 33.3 km ambazo kila mtu alitembea kwa siku, sasa kmn33.3 kuzigawa kwa siku 30 ulilenga nini?Ndio maana sipendi hesabu
1000km/30siku=33.33333 kwa kila mmoja
33.33333km/siku 30 = Kilometer 1.017 anazotembea kwa siku
Ukichukia Km 1.017/Masaa 24 unapata mita 42
Uzalendo unakufanya utembee UMBALI mfupi tofauti na hata na watoto wanatembea zaidi ya KM 10 kila siku kufuata shule au wale wamama wanofuata maji
Tujipange jaman bora kuendelea na Ujenzi wa shule shikizi
Tunaipongeza Serikali kuliko haya matembezi ya kizalendo
Shida ni kuzitembea mfulilizo, na sidhani kama unaweza kuzitembea kwa mguu.Kama kutembea km 33 kwa siku ni uzalendo mm nitakuwa mzalendo wa kiwango cha juu sana nchi hii.
Kwa mguu sidhani, ukisafiri kw gari Dar to Kagera unalala ndani siku mbili uko hoi, sembuse utembeeNaona hadi Mh raisi amewapongeza kwa kutembea kwa mguu toka dar hadi kagera.
Kuna maswali mengi najiuliza.
Ikiwemo kama gari tu linatumia karbia siku 2.
Je kwa miguu na njiani kuna wanyama hatarishi??
Au wakifika mlandizi wanakwea ndinga kisiri siri????
Nawasilisha.