Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwa kweli sio hupendi hesabu ... Hata hesabu hujui kbsa... Na hata uwezo wako wa kufikiria tuna mashaka nao...Ndio maana sipendi hesabu
1000km/30siku=33.33333 kwa kila mmoja
33.33333km/siku 30 = Kilometer 1.017 anazotembea kwa siku
Ukichukia Km 1.017/Masaa 24 unapata mita 42
Uzalendo unakufanya utembee UMBALI mfupi tofauti na hata na watoto wanatembea zaidi ya KM 10 kila siku kufuata shule au wale wamama wanofuata maji
Tujipange jaman bora kuendelea na Ujenzi wa shule shikizi
Tunaipongeza Serikali kuliko haya matembezi ya kizalendo
Ndio maana sipendi hesabu

Hahaha uzalendo wa mwenge?Vijana wameonesha uzalendo kwa kutembea kwa miguu kutoka Dar es Salaam hadi Kagera kuhudhuria kilele cha mbio za Mwenge na kumuenzi Baba wa Taifa.
Vijana hao wametumia siku 30 kufika Kagera na wametambulisha mbele ya rais katika maadhimisho ya siku ya kumbukizi ya kifo cha mwalimu Nyerere ambayo imefanyika Kagera
Bro hesabu zako ni hatari....Ndio maana sipendi hesabu
1000km/30siku=33.33333 kwa kila mmoja
33.33333km/siku 30 = Kilometer 1.017 anazotembea kwa siku
Ukichukia Km 1.017/Masaa 24 unapata mita 42
Uzalendo unakufanya utembee UMBALI mfupi tofauti na hata na watoto wanatembea zaidi ya KM 10 kila siku kufuata shule au wale wamama wanofuata maji
Tujipange jaman bora kuendelea na Ujenzi wa shule shikizi
Tunaipongeza Serikali kuliko haya matembezi ya kizalendo
Story tu wanatembea mchana usiku wanapanda toyNaona hadi Mh raisi amewapongeza kwa kutembea kwa mguu toka dar hadi kagera.
Kuna maswali mengi najiuliza.
Ikiwemo kama gari tu linatumia karbia siku 2.
Je kwa miguu na njiani kuna wanyama hatarishi??
Au wakifika mlandizi wanakwea ndinga kisiri siri????
Nawasilisha.