Vijana watembea kilometa 1000 kwa miguu kuonesha uzalendo

Hesabu ni mkweo endelea kumuogopa.

Km1000÷ siku 30= km33.33 kwa siku.

Hivyo walitembea wastani wa km 33.33 kwa siku moja
 
Hizo hesabu za wapi? Umeshagawanya km 1000 kwa siku 30 ukapata 33.3 km ambazo kila mtu alitembea kwa siku, sasa kmn33.3 kuzigawa kwa siku 30 ulilenga nini?
 
Kwa mguu sidhani, ukisafiri kw gari Dar to Kagera unalala ndani siku mbili uko hoi, sembuse utembee
 
Huko ni kujitesa sio uzalendo
Wenzako wako kwny v8 wanapigwa kipupwe wewe na upumbavu wako unatembea kwa miguu..bladifaken
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…