Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Pole mkuu,niliuziwa simu kesho yake ikatowa milaba km wale punda milia wa kijivu kule EtiopiaKuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani.
Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu.
Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?
Tuanzie hapa hizo simu fake zinatoka wapi na zinaingizwaje nchini? Wakati tuna TBS, KMKM, Fair Competition Commission (FCC), TRA pia TAKUKURU wanaweza pia kuwa involved lakini cha ajabu ni kwamba CHADEMA wakisema no reforms no election wanakamatwa mara moja tena na mabomu ya machozi na risasi za moto juu. Waingizaji na wauzaji wa vitu fake hawaguswi hata kwa unyoya wa ndege. Itoshe tu kusema uchaguzi wa hovyo unazalisha viongozi wa hovyo wasiopenda kuwajibika.Kuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani.
Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu.
Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?