Vijana wavuta bangi wanaongezeka, nini kifanyike kukomesha tabia hii?

Yote hayo yanesababishwa na kikundi cha watu wachache wanaotumia rasilimali za nchi kama mali zao na kuwanyima kundi la walio wengi kufaidika na keki ya taifa.

Zunguka kote kwenye machimbo yanayouza vilevi, madawa ya kulevya na wale madada poa uwaulize kwanini unajiuza au unabwia unga na majibu utakayopata rudi hapa tena.
 
Serikali ihalalishe bangi, mirungu na gongo ili sisi tunaotumia vitu hivyo tulipe kodi na kuinua uchumi wa taifa letu.
 
Hayo ya kuongezeka kwa Wimbi la wavuta bangi na watumia dawa za kulevya ni mafanikio ya serikali ya Samia chini ya mzee kikwete na bwana riziwani kikwete inatakiwa tububujikwe na machozi ya furaha kwa kutufanikishia taifa letu kurudi tuliko toka ....kwa sasa tunasubiri muarabu achukue kikamilifu mbuga zote na bandari zote hili atuletee maji matukufu ya ZAMZAMU
 
Mwendelezo ni kila Jumatano na Jumamosi kila wiki. Naitwa Jay Alchemist mwandishi toka Afrika Mashariki. Uongozi wa taifa za Afrika ndio hutufanya waafrika tuwe nyuma. Tunaitwa The Dark Continent. Kisa? Viongozi wetu ni walafi na kama mwandishi wangu kipenzi BEN R MTOBWA alivyoandika: Hawa wanafakamia mali ya umma kwa njaa ile ya umaskini. Baada ya shibe, wanaendelea kufakamia mali ya jamii ili wailinde shibe hiyo. Jiunge nami katika hii safari ya wazalendo wa Afrika. Tusome hii simulizi iitwayo: Serikali ya Wezi, Taifa La Waliodanganywa. Simulizi hii ni sehemu Kijasusi kama ile series ya Joram Kiango ya Ben Mtobwa sehemu ya Kimaisha na sehemu kubwa riwaya kama zile za Ken Walibora

Kesho ni Jumatano: endelezo la simulizi yetu yenye utani na uandishi wenye kipaji kama waandishi wetu watukufu wa Afrika Mashariki. Katikati ya saa 6pm-8pm EAT.
Tutamwona binti mwenye mini anavyomtesa fisi mtaani!
 

Attachments

  • Jamii.jpg
    783.9 KB · Views: 3
  • Serikali ya Wezi Article.png
    782 KB · Views: 2
 
Pangekuwa na viwanja vizuri vya kutosha vya michezo na sehemu za wazi kwenye mitaa,mashuleni na ushauri wa changamoto kulingana na umri wa vijana toshelezi tatizo lingepungua kwa kati ya asilimia 55_65. Kwa hali ya sasa,ila kama tungezingatia kutengeneza mazingira ya ajira kwa kundi hili na kikapatikana kipato kwa wakati sahihi kulingana na mahitaji huenda hadi 80 ya hali ya sasa ingekuwa imewezakudhibitiwa.
 
Bangi haina shida yoyote wapi ulisikia mtu kafeli figo kwa kuvuta bangi?
 
Hayo unayoita madhara ya bangi mbona yalikuwepo tangu kuumbwa kwa binadamu wa keanza???
 
Hivi kati ya bangi na ccm ni kipi haramu ....
Ngoja ni mwombe Tlaaatlaah majibu pamoja na washirika wake.Popote mlipo mfanye kama mnajikuna wadau wa na tamani kupata jibu.
 
Kuna vijana pale mwenge wanakijiwe chao ukipita jioni asee imekuwa adi kero kwa kweli alafu ni huu upande wa lugalo kabisa kuna siku kilinuka pale ata watembea kwa miguu ikatubidi tukimbie maana ukikaa vbaya unajikuta kwa wajomba ila ile sio sawa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…