Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kwa nini hutaki mazoea nao?Bangi haina shida, mi mabraza ambao nilianza kuvuta kwa kuwaona wao wanavuta walikua ni watu smart sana. Wana kazi za kueleweka, kipato cha uhakika gingi anavuta kwa starehe, ila machalii siku hizi wanavuta kwa hasira mana wanaipelekea stress zao za mapenzi, kukosa kazi n.k lazima wachanganyikiwe. Mi hata nikitaka mzigo namcheki tu sadali aniwekee stock ya kutosha hata ya 20k nikifika ni kuchukua na kupita hv hapo tuonane tena mpaka iishe, mazoea nao sitaki.
Sio hoja! Uvute bangi halafu usumbue wengine? Huo ni upumbavu, vijana wengi wavuta bangi ni kero kwa wengine. Smoke at your own luxuryYote hayo yanesababishwa na kikundi cha watu wachache wanaotumia rasilimali za nchi kama mali zao na kuwanyima kundi la walio wengi kufaidika na keki ya taifa.
Zunguka kote kwenye machimbo yanayouza vilevi, madawa ya kulevya na wale madada poa uwaulize kwanini unajiuza au unabwia unga na majibu utakayopata rudi hapa tena.
Sina hiyo twakwimuUngeomba takwimu za vichaa kwa wanaotumia hivyo vilevi.
pombe ni burudani mkuu,ila bangi always huathiri mfumo mzima wa ubongo hivyo kupelekea mtu kuwa mraibu wa matumizi haya,mtu akiwa mraibu wa bangi, kwanza atatumia muda mwing kutafta hela kwa ajir ya bangi,akikosa anakuibia,vijana wakiwa hvyo nguv kaz ya taifa inapungua na vifo vingi vinatokea kutokana na matumiz haya ya bangSina hiyo twakwimu
Bangi haina tatizo lolote, wengi mna dhana potofu kuhusu bangi hamjawahi kuangalia mambo kwa mapana zaidi ya kile mlichokaririshwa kuhusu bangi...bangi sio dawa ya kulevya kuvuta bangi sio uhuni wala chanzo cha uhuni....Emancipate yourselves from mental slavery. None but ourselves can free our minds
Wizi wa panya road hauna mauhusiano na Bangi sera mbovu za serikali ndo janga kuliko bangiWakuu,
Mwanzo wakati mimi ninakua,kuvuta bangi ilikuwa inafanyika kwa siri mno, mpaka uje uambiwe kuwa huyu ni mvuta bangi ni ngumu mno,na ilikuwa inatumiwa na watu wazima wenye nguvu na ukiambiwa huyu ni mvuta bangi utaamini,kutokana na shughuli ngumu na za nguvu anazozifanya.
Wakuu, uvutaji wa bangi kwa sasa imekuwa si siri tena,na vijana wadogo chini ya miaka 20 ni watumiaji wa madawa haya mabaya zaidi nchini
Wakuu,tofauti na zamani,mvuta bangi alikuwa akivuta bangi anakuwa na nguvu na aliweza kufanya kazi ngumu za kumwingizia kipato.. sasa ni tofauti vijana hawa wakivuta wanakosa nguvu,wanawaza uzinzi na wengine kupigana.
Madhara ya bangi yameanza kuonekana wazi,kama wizi(panya road),ubakaji,nguvu kazi ya taifa kupungua,nk
Je nini kifanyike kuzuia matumizi,biashara na usafirishaji wa bangi?
Karibuni
Hakunu shido hati kidoguKwani Kuna shido?
[emoji23][emoji23][emoji23]Jana jioni nimepita sehemu nikakuta vijana wadogo kama watano hivi wanavuta bangi bila hofu. Sikuwasemesha kitu, nikawapita kimyakimya kujiepusha na shari endapo ningewasemesha wangeanza kuniletea kasheshe kwa ulevi wao wa bangi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna vijana pale mwenge wanakijiwe chao ukipita jioni asee imekuwa adi kero kwa kweli alafu ni huu upande wa lugalo kabisa kuna siku kilinuka pale ata watembea kwa miguu ikatubidi tukimbie maana ukikaa vbaya unajikuta kwa wajomba ila ile sio sawa kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaahHahaa..kweli unalinganisha bangi na pombe kweli??Usikosee heshima bangi aiseee.Bangi inapenya mpaka kwenye mbegu za uzazi unatoa mtoto bangibangi tu
Bangi sio mbaya Bangi ni tiba.. Bangi ndio kitu pekee kinacho weza kumuamsha yule mtu wako wa ndani....Wakuu,
Mwanzo wakati mimi ninakua,kuvuta bangi ilikuwa inafanyika kwa siri mno, mpaka uje uambiwe kuwa huyu ni mvuta bangi ni ngumu mno,na ilikuwa inatumiwa na watu wazima wenye nguvu na ukiambiwa huyu ni mvuta bangi utaamini,kutokana na shughuli ngumu na za nguvu anazozifanya.
Wakuu, uvutaji wa bangi kwa sasa imekuwa si siri tena,na vijana wadogo chini ya miaka 20 ni watumiaji wa madawa haya mabaya zaidi nchini
Wakuu,tofauti na zamani,mvuta bangi alikuwa akivuta bangi anakuwa na nguvu na aliweza kufanya kazi ngumu za kumwingizia kipato.. sasa ni tofauti vijana hawa wakivuta wanakosa nguvu,wanawaza uzinzi na wengine kupigana.
Madhara ya bangi yameanza kuonekana wazi,kama wizi(panya road),ubakaji,nguvu kazi ya taifa kupungua,nk
Je nini kifanyike kuzuia matumizi,biashara na usafirishaji wa bangi?
Karibuni
We unakuweje mraibu wa bang?pombe ni burudani mkuu,ila bangi always huathiri mfumo mzima wa ubongo hivyo kupelekea mtu kuwa mraibu wa matumizi haya,mtu akiwa mraibu wa bangi, kwanza atatumia muda mwing kutafta hela kwa ajir ya bangi,akikosa anakuibia,vijana wakiwa hvyo nguv kaz ya taifa inapungua na vifo vingi vinatokea kutokana na matumiz haya ya bang