Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Ila anauwezo wa kuila kama mboga baada ya kuichuma toka shambani mwake sio.Maskini hana uwezo wa kuvuta bangi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila anauwezo wa kuila kama mboga baada ya kuichuma toka shambani mwake sio.Maskini hana uwezo wa kuvuta bangi
Biashara haramu toka lini??Mods kuna biashara haramu inatangazwa huku.
Tusubiri chawa warudi kutoka kwenye miaka 48 ya ccmWakuu,
Mwanzo wakati mimi ninakua,kuvuta bangi ilikuwa inafanyika kwa siri mno, mpaka uje uambiwe kuwa huyu ni mvuta bangi ni ngumu mno,na ilikuwa inatumiwa na watu wazima wenye nguvu na ukiambiwa huyu ni mvuta bangi utaamini,kutokana na shughuli ngumu na za nguvu anazozifanya.
Wakuu, uvutaji wa bangi kwa sasa imekuwa si siri tena,na vijana wadogo chini ya miaka 20 ni watumiaji wa madawa haya mabaya zaidi nchini
Wakuu,tofauti na zamani,mvuta bangi alikuwa akivuta bangi anakuwa na nguvu na aliweza kufanya kazi ngumu za kumwingizia kipato.. sasa ni tofauti vijana hawa wakivuta wanakosa nguvu,wanawaza uzinzi na wengine kupigana.
Madhara ya bangi yameanza kuonekana wazi,kama wizi(panya road),ubakaji,nguvu kazi ya taifa kupungua,nk
Je nini kifanyike kuzuia matumizi,biashara na usafirishaji wa bangi?
Karibuni
Inavutwa sana,tena huko wanavuta ile grade one Skankaa!!Kwa nini huwa hawavuti ndani ya vyumba vya Hotel kama Hayat,,View attachment 3233685
Me nadhan kisifanyike chochotenini kifanyike
Pole kiongozi kwa kufikiriInavutwa sana,tena huko wanavuta ile grade one Skankaa!!
Bila shaka wewe ni mmoja wa watumiaji mashuhuri na wa muda woteKwanza bangi Haina shida.
Mbona Niliwahi kukabwa na Ayubu usiku natoka kumkula Dem wangu Aliponijua akacheka halafu akasema jamaa yangu Hali mbaya una dasi hapo nikamwambia twende tukapige vyombe angalau Hadi saa7
Mbona hujasemea dini mkuu?
Smoker of all timeBangi haina shida, mi mabraza ambao nilianza kuvuta kwa kuwaona wao wanavuta walikua ni watu smart sana. Wana kazi za kueleweka, kipato cha uhakika gingi anavuta kwa starehe, ila machalii siku hizi wanavuta kwa hasira mana wanaipelekea stress zao za mapenzi, kukosa kazi n.k lazima wachanganyikiwe. Mi hata nikitaka mzigo namcheki tu sadali aniwekee stock ya kutosha hata ya 20k nikifika ni kuchukua na kupita hv hapo tuonane tena mpaka iishe, mazoea nao sitaki.
Vyote ni haramHivi bange na pombe kipi kina madhara zaidi wakuu, maana nashangaa bange ni haramu huku pombe ni halali.
thibitisha kitabibu kuwa bangi sio mbaya.Bangi haina tatizo lolote, wengi mna dhana potofu kuhusu bangi hamjawahi kuangalia mambo kwa mapana zaidi ya kile mlichokaririshwa kuhusu bangi...bangi sio dawa ya kulevya kuvuta bangi sio uhuni wala chanzo cha uhuni....Emancipate yourselves from mental slavery. None but ourselves can free our minds
Ungeomba takwimu za vichaa kwa wanaotumia hivyo vilevi.Hivi bange na pombe kipi kina madhara zaidi wakuu, maana nashangaa bange ni haramu huku pombe ni halali.
Wakuu,tofauti na zamani,mvuta bangi alikuwa akivuta bangi anakuwa na nguvu na aliweza kufanya kazi ngumu za kumwingizia kipato.. sasa ni tofauti vijana hawa wakivuta wanakosa nguvu,wanawaza uzinzi
Madhara ya bangi yameanza kuonekani(panya road)
Je nini kifanyike kuzuia matumizi,biashara na usafirishaji wa bangi?
Sio kweli. Bangi haibagui masikini wala tajiri inawajali watu wote.masikini hasa vijana ndio wanaongoza katika uraibu huu.
Kwani Kuna shido?Bila shaka wewe ni mmoja wa watumiaji mashuhuri na wa muda wote