Vijana wavuta bangi wanaongezeka, nini kifanyike kukomesha tabia hii?

Vijana wavuta bangi wanaongezeka, nini kifanyike kukomesha tabia hii?

Wakuu,
Mwanzo wakati mimi ninakua,kuvuta bangi ilikuwa inafanyika kwa siri mno, mpaka uje uambiwe kuwa huyu ni mvuta bangi ni ngumu mno,na ilikuwa inatumiwa na watu wazima wenye nguvu na ukiambiwa huyu ni mvuta bangi utaamini,kutokana na shughuli ngumu na za nguvu anazozifanya.

Wakuu, uvutaji wa bangi kwa sasa imekuwa si siri tena,na vijana wadogo chini ya miaka 20 ni watumiaji wa madawa haya mabaya zaidi nchini

Wakuu,tofauti na zamani,mvuta bangi alikuwa akivuta bangi anakuwa na nguvu na aliweza kufanya kazi ngumu za kumwingizia kipato.. sasa ni tofauti vijana hawa wakivuta wanakosa nguvu,wanawaza uzinzi na wengine kupigana.

Madhara ya bangi yameanza kuonekana wazi,kama wizi(panya road),ubakaji,nguvu kazi ya taifa kupungua,nk

Je nini kifanyike kuzuia matumizi,biashara na usafirishaji wa bangi?

Karibuni
Tusubiri chawa warudi kutoka kwenye miaka 48 ya ccm
 
Kwanza bangi Haina shida.
Mbona Niliwahi kukabwa na Ayubu usiku natoka kumkula Dem wangu Aliponijua akacheka halafu akasema jamaa yangu Hali mbaya una dasi hapo nikamwambia twende tukapige vyombe angalau Hadi saa7

Mbona hujasemea dini mkuu?
Bila shaka wewe ni mmoja wa watumiaji mashuhuri na wa muda wote
 
Bangi haina shida, mi mabraza ambao nilianza kuvuta kwa kuwaona wao wanavuta walikua ni watu smart sana. Wana kazi za kueleweka, kipato cha uhakika gingi anavuta kwa starehe, ila machalii siku hizi wanavuta kwa hasira mana wanaipelekea stress zao za mapenzi, kukosa kazi n.k lazima wachanganyikiwe. Mi hata nikitaka mzigo namcheki tu sadali aniwekee stock ya kutosha hata ya 20k nikifika ni kuchukua na kupita hv hapo tuonane tena mpaka iishe, mazoea nao sitaki.
Smoker of all time
 
Bangi haina tatizo lolote, wengi mna dhana potofu kuhusu bangi hamjawahi kuangalia mambo kwa mapana zaidi ya kile mlichokaririshwa kuhusu bangi...bangi sio dawa ya kulevya kuvuta bangi sio uhuni wala chanzo cha uhuni....Emancipate yourselves from mental slavery. None but ourselves can free our minds
 
thibitisha kitabibu kuwa bangi sio mbaya.
 
Wakuu,tofauti na zamani,mvuta bangi alikuwa akivuta bangi anakuwa na nguvu na aliweza kufanya kazi ngumu za kumwingizia kipato.. sasa ni tofauti vijana hawa wakivuta wanakosa nguvu,wanawaza uzinzi

Madhara ya bangi yameanza kuonekani(panya road)

Je nini kifanyike kuzuia matumizi,biashara na usafirishaji wa bangi?

Swali zuri sana
5245f30c6bb3f70e302a5051
 
Back
Top Bottom