Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Leo tunakosa nguvu ya majadiliano ya kina yanayotawaliwa na nguvu ya hoja "critical thinking argumentation"mijadala yetu haikosi kushambuliana kwa maneno machafu na haitoi mahitimisho au mwanzo wa hoja nyingine kujijenga.
"Full of personal attacks and assaults" tunasahau tulikotoka.
Babu zetu walikuzwa na majadiliano yanayojengwa kwa hoja kuntu, licha ya tofauti bado waliangalia hoja zenye staha kwa kuzingatia hoja kupingwa kwa hoja. Thesis, Antithesis, Synthesis, Falsafa ya Ubuntu hajaacha umbwe kwenye ujenzi wa hoja.
Kuna haja ya elimu ya namna ya kujenga na kubomoa hoja kufundishwa kuanzia shule za msingi Nchini ili kuokoa hiki kizazi.