C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 940 Reaction score 401 Oct 22, 2024 #1 wakuu.. hatuelewi na serikali hii' vijana wengi wameandikiwa NO APROVED ALLOCATION na vyuo vimefunguliwa tayari... hili ni janga
wakuu.. hatuelewi na serikali hii' vijana wengi wameandikiwa NO APROVED ALLOCATION na vyuo vimefunguliwa tayari... hili ni janga
Imole JF-Expert Member Joined Jan 8, 2021 Posts 1,438 Reaction score 4,053 Oct 22, 2024 #2 Crystal field theory said: wakuu.. hatuelewi na serikali hii' vijana wengi wameandikiwa NO APROVED ALLOCATION na vyuo vimefunguliwa tayari... hili ni janga Click to expand... Poleni sana
Crystal field theory said: wakuu.. hatuelewi na serikali hii' vijana wengi wameandikiwa NO APROVED ALLOCATION na vyuo vimefunguliwa tayari... hili ni janga Click to expand... Poleni sana
M Mkereketwa wa NAZI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2022 Posts 1,048 Reaction score 2,449 Oct 22, 2024 #3 Ivi serikali inaweza kuwapa mikopo wanafunzi wote kweli nchi nzima me nahis kuna wengine watakosa tu
Voice of Tanzania JF-Expert Member Joined Sep 23, 2018 Posts 2,036 Reaction score 3,107 Oct 23, 2024 #4 Wewe sio wa kwanza kukosa mkopo Ata sisi miaka yetu tulikosa. Serikali aina pesa za kuwapa wote japo wanatamani hiwe hivyo.
Wewe sio wa kwanza kukosa mkopo Ata sisi miaka yetu tulikosa. Serikali aina pesa za kuwapa wote japo wanatamani hiwe hivyo.