Vijana wengi wa JF hela hawana ndio maana kila siku ni kataa ndoa tu

Hata wanawake apeche Alolo na fukara ndio hupenda kupewa Pesa.
Lakini wanawake wenye vipato pesa sio tatizo. Nao hununua na kuwapa pesa wanaume zao.
Kuna vitu vya kupeana kama zawadi ambavyo mwanamke anayekupenda hata awe apeche anakupa tu hata kwa kuiba kwao (kama bado anakaa kwao).

Nashangazwa sana na mapenzi ya siku hizi, sijui ndio uzee unaninyemelea au ndio dunia imebadilika.
 
Kumhudumia "MWANAMKE WAKO" raha sana asikwambie mtu. Tafuteni hela
 
Kuna vitu vya kupeana kama zawadi ambavyo mwanamke anayekupenda hata awe apeche anakupa tu hata kwa kuiba kwao (kama bado anakaa kwao).

Nashangazwa sana na mapenzi ya siku hizi, sijui ndio uzee unaninyemelea au ndio dunia imebadilika.

Siku hizi hakuna mapenzi Sawa Bibie.

Nipe nikupe
Weka niweke.

Nashauri vijana kama demu hatoi pesa naye asimpe.
Mpe mtu kile anachotoa. Hiyo ndio kanuni ya siku hizi.

Kwa wale tuliobahatika kupata wenye mapenzi ndio tutatumia kanuni za zamani. Kuwa mwanaume ahudumie mpenzi au mkewe. Lakini kwa hawa vijana wa kileo na Wadada wapenda pesa. Sishauri.
 
Mapenzi yapo sana. Sema shida ipo kwenu. Wanaume mnapenda slay queens ambao wao hupenda mambo makubwa. Mbona wapo wanawake wengi tu wasiopenda complicated life styles? Unamfuatilia mpenda vitu akija kukuomba kitu unabaki unalalamika wakati tangu mwanzo uliamua kudate huyo mwanamke.
 
Kama ulikua huna cha kuandika ungepiga tu KIMYA
Kabisa amejicontradict anapinga mada za kukataa ndoa halafu yeye mwenyewe kaifungulia thread hiyo mada ,ndio ujue uwezo wa kufikiri wa baadhi ya wenzetu ni finyu sana
 
Brother, Aliko Dangote, tajiri namba 1 Africa hana mke.
Tunakataa ndoa, hatukatai kuwa na mahusiano.
Kataa ndoa.
 
Waliooa Wanawashambulia Ambao Hawajaoa Najiuliza Kwanini Imekuwa Hivi?

Tumekubaliana Aliyeoa Apambane Na Mkewe Na Ambao Hawajaoa Wapambane Na Hali Zao.
 
Tuwekane sawa hapa.
Tunakataa ndoa. Hatukatai mahusiano, hatukatai kuhonga.
Mimi sina mke, ila nna girlfriend niko naye mwaka wa 4 huu. Angekaa kipindi chote kama simpi hela?
 
90% ya wanawake wanataka mwanaume mwenye mafanikio. Hiyo pekee inatosha kuelezea kuwa wanawake wa zama hizi dawa yao ni nipe nikupe full stop.
Hiyo 10% iliyobaki ndio unaozungumzia wewe.
Atakayekupenda vile ulivyo bila kujali pesa au chochote
 
We jamaa haujiheshimu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Bill Gates alimtaliki Mkewe.

Jeff Bezzos alimtaliki Mkewe.

Je hao nao hawana pesa?

Ndoa ni zaidi ya kuwa na chapaa.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Mtoa mada unazingua.
Mada ni kataa ndoa, wewe unazungumzia kuwa na pesa na kuzitumia kuhonga. Kwani team kataa ndoa hawana wapenzi? Hawana wanawake? Hawahongi?
Pambana na ndoa yako. Sisi tuache na tunahonga kama kawa.
Niko na mtoto wa mtu mwaka wa 4 huu. Ningekuwa sina pesa ningekuwa naye kipindi chote hiki?
 
90% ya wanawake wanataka mwanaume mwenye mafanikio. Hiyo pekee inatosha kuelezea kuwa wanawake wa zama hizi dawa yao ni nipe nikupe full stop.
Hiyo 10% iliyobaki ndio unaozungumzia wewe.
Atakayekupenda vile ulivyo bila kujali pesa au chochote
Hata sio 90% mna overreact tu.
 
Tuwekane sawa hapa.
Tunakataa ndoa. Hatukatai mahusiano, hatukatai kuhonga.
Mimi sina mke, ila nna girlfriend niko naye mwaka wa 4 huu. Angekaa kipindi chote kama simpi hela?
Kuna mambo mawili. Kukataa kuoa na ulalamishi wa kuhonga
 
Kuna mambo mawili. Kukataa kuoa na ulalamishi wa kuhonga
Mtoa mada kasema sisi kataa ndoa hatuna pesa, tunashindwa kuhonga. Kwani ye alioa ili ahonge?
Anayelalamika kuhonga ni mvulana huyo hajakuwa.
 
Kuhusisha ndoa na pesa ni ujinga mmoja matata sana
NB: nimesoma title tu
 
ni upotoshaji hapo kwenye kutokua na hela.
Most of members humu JF wana uwezo wa kifedha wa kawaida, wastani na wajuu zaidi.🐒

Ndio maana wapo online 24/7, wachache miongoni mwao wakiinjoy WiFi maofisini mwao na bando wakitumia badae wakiwa nyumbani🐒

si hivyo tu hata suala la nishati kwao sio tatizo wana mapawa bank ya nguvu, majenereta na masolar ya uhakika Lakini kwa baadhi yao maeneo wanapoishi maboresho miundimbinu ya umeme tayari na kwahivyo hakuna tatizo la nishati 🐒

kwenye suala la kataa ndoa sina maoni 🐒
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…