Vijana wengi wa JF hela hawana ndio maana kila siku ni kataa ndoa tu

Vijana wengi wa JF hela hawana ndio maana kila siku ni kataa ndoa tu

Mtoa mada kasema sisi kataa ndoa hatuna pesa, tunashindwa kuhonga. Kwani ye alioa ili ahonge?
Anayelalamika kuhonga ni mvulana huyo hajakuwa.
Umedate na msichana miaka mi4 unajiwekaje kwenye kundi la kataa ndoa. Date na mtu miaka 20 ndio useme. The future is unknown
 
Siwezi poteza mda wangu kujibu mtu mwenye akili za hv, ila jua tu kataa ndoa Wana akili kuliko hata wazazi wako na wapo vzr kifedha
 
Watakushukia kama mwewe ila ukweli ndio huo.
Mwanaume mwenye hela hata haombwi anajikuta anatoa tu. Ila kuna wengine pia hawana hela ila wanajua kuhudumia wapenzi wao na wanapambana kwa ajili amnunulie kakitu girlfriend wake.

Ila apeche alolo wengine hela hawana na wapenzi hawana, makasirikio wanaleta jf.
Huu uzi ulinipita kweli duuuu...!!! Acheni kuomba omba bana, tafuteni pesa zenu
 
Back
Top Bottom