Vijana wengi wa KATAA NDOA hawajielewi

Mambo yanazidi kujidhihirisha, vijana wa kataa NDOA wanazidi kujikusanyia point 3 Kila kukicha.

Kiukweli kwasasa wanawake wa kuoa wapo wachache zana, 50 kwa 50 inawatafuna sana, kama huyu kwenye video Yani anatamani nayeye angezaliwa mwanaume, wanawake kama Hawa ni sumu sana ndio maana NDOA hazidumu.

#KATAANDOA
 

Attachments

  • Snapinsta.app_video_319963240_842357351043179_5445623574378341651_n.mp4
    6 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…