Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 473
- 1,682
Kumbe wewe sio wale wakina kisugu wanaotetea ujinga kisa nauli za kulipiwa na malazi pamoja na posho🤣🤣🤣Leo baada ya ushindi kiduchu tunaanza kudanganyana kuwa mechi za nusu fainali hazina magoli mengi, pumbavu kabisa.
Hazina magoli mengi wakati RS Berkane anaongoza bao 2 huko hadi sasa half time halafu wewe unaleta uchawa wako wa kijinga jinga.
Wengine sisi tumeanza kwenda kuishangilia Simba enzi za akina Riziki Shawa, Mosses Mkandawile, Aston Pardon, Adam Selaman, marehemu Rafael Paul, enzi hizo uwanja wa shamba la bibi.
Leo tusiongopeane wala kuwatuma chawa kutetea ujinga, ukweli ni kuwa tumejimaliza wenyewe, leo Stellenbosch alikuwa anakufa hapa hapa nyumbani ila kocha kwa mapenzi yake kwa Ahoua ametuua.
Hakuna maneno yoyote ya kuambiana hapa ila Fahdu ametukwamisha sana leo, wachezaji wazuri aina ya Okajepha hawachezi mnatuwekea wachezaji wazito kama Ngoma, Chamou ambao hawana mchango wowote wa kuifikisha Simba mbele, sikatai ni wachezaji wazuri lakini sio kwa Simba.
Kwanini tuzidiwe wachezaji wazuri na Singida halafu sisi tujivunie Mukwala?
Viongozi wangu wa Simba sikusudii kuwaponda ila kiukweli kocha ameniumiza sana moyo wangu leo, maneno ya kiuongozi kuwa leo tumeshinda na tutakwenda kupambana ni kuondoana kwenye reli tu lakn ukweli ni kuwa wale wasauzi kule kwao wana privilege kubwa sana.
Anyway, hii imekwisha hata tukilalamika haisaidii maana ndio ishatokea tena, tupambane twende tukapasuane nao huko huko na inshaallah mm pia nitaenda huko bila kuomba nauli ya mtu au kujikomba kwa uongozi.
Nimeumia mnoooooooooo hamjui tu
😄😄Leo baada ya ushindi kiduchu tunaanza kudanganyana kuwa mechi za nusu fainali hazina magoli mengi, pumbavu kabisa.

Waliodhaniwa kuwa wana quality walishindwa kupata goli moja tu kwenye mashindano yao ili wafuzu waingie robo fainali kwa Mkapa.Mkuu umeandika point sana.
Leo nimeandika neno
QUALITY
QUALITY.
QUALITY.
zaidi ya mala 50.
Lakini Bado vijana hawaelewi kitu.
Usiwe Mjinga Mkuu penda Kujifunza kwa watu wanaokuzidi mimi siongelei upumbavu wa simba na yanga naongelea mpira.Waliodhaniwa kuwa wana quality walishindwa kupata goli moja tu kwenye mashindano yao ili wafuzu waingie robo fainali kwa Mkapa.
Tz bado mabumunda ni mengi sana,na hata hayahoji,wao kazi kuwabeza Simba tu,Hahahaaaaaa
Teh teh teh ukiwa,bumunda huwezi kuujua udhaifu wakoUsiwe Mjinga Mkuu penda Kujifunza kwa watu wanaokuzidi.
Mashindano ya CAF yana hatua 5..
Mtoano.
Makundi.
Robo fainali.
Nusu Fainali.
Fainali.
Wachezaji wengi waliopo simba ni wachezaji wa Mtoano sio Makundi Robo wala Nusu Fainali ya CAFCC.
INSHORT SIMBA ANAZIDIWA QUALITY NA SINGIDA.
Umejuaje,mbona nina furaha sana mkuu?Mbona hamshangilii ushindi..😂
Huna hoja zaidi ya Bumunda.Teh teh teh ukiwa,bumunda huwezi kuujua udhaifu wako
Haya wewe na huyo Singida mpo wapi,hapo bumunda ni nani kwa muda huu
Endeleeni kujifariji,ila ukweli nyie ni mabumunda zaidi na hamjielewi
Mtu wa football hawezi kuwa na pumba hizo mzee.Huna hoja zaidi ya Bumunda.
Mimi sina timu yoyote mimi sio shabiki kama wewe.
Mimi ni mtu wa Football
Kiukweli kabisa ungeongea haya ukiwa pembeni yangu NINGELIKUNASA VIBAO!Leo baada ya ushindi kiduchu tunaanza kudanganyana kuwa mechi za nusu fainali hazina magoli mengi, pumbavu kabisa.
Hazina magoli mengi wakati RS Berkane anaongoza bao 2 huko hadi sasa half time halafu wewe unaleta uchawa wako wa kijinga jinga.
Wengine sisi tumeanza kwenda kuishangilia Simba enzi za akina Riziki Shawa, Mosses Mkandawile, Aston Pardon, Adam Selaman, marehemu Rafael Paul, enzi hizo uwanja wa shamba la bibi.
Leo tusiongopeane wala kuwatuma chawa kutetea ujinga, ukweli ni kuwa tumejimaliza wenyewe, leo Stellenbosch alikuwa anakufa hapa hapa nyumbani ila kocha kwa mapenzi yake kwa Ahoua ametuua.
Hakuna maneno yoyote ya kuambiana hapa ila Fahdu ametukwamisha sana leo, wachezaji wazuri aina ya Okajepha hawachezi mnatuwekea wachezaji wazito kama Ngoma, Chamou ambao hawana mchango wowote wa kuifikisha Simba mbele, sikatai ni wachezaji wazuri lakini sio kwa Simba.
Kwanini tuzidiwe wachezaji wazuri na Singida halafu sisi tujivunie Mukwala?
Viongozi wangu wa Simba sikusudii kuwaponda ila kiukweli kocha ameniumiza sana moyo wangu leo, maneno ya kiuongozi kuwa leo tumeshinda na tutakwenda kupambana ni kuondoana kwenye reli tu lakn ukweli ni kuwa wale wasauzi kule kwao wana privilege kubwa sana.
Anyway, hii imekwisha hata tukilalamika haisaidii maana ndio ishatokea tena, tupambane twende tukapasuane nao huko huko na inshaallah mm pia nitaenda huko bila kuomba nauli ya mtu au kujikomba kwa uongozi.
Nimeumia mnoooooooooo hamjui tu
Mihemuko ka hii haifai Bure!Leo baada ya ushindi kiduchu tunaanza kudanganyana kuwa mechi za nusu fainali hazina magoli mengi, pumbavu kabisa.