Rage alituita mbumbumbu kwasababu ya mashabiki kama wewe. Ahoua aanzie bench!!?, yaani we ndo umecomment shudu kabisa. Kikosi kinapangwa mazoezini na coach ndiye anaejuwa uwezo wa kila mchezaji. mpanzu akicheza number 10, winger ya kushoto acheze nani? Valentino Mashaka, Ateba?. Tukubaliane tu kuwa first choice number 10 wetu sio mzuri kwenye One against one hivyo dirisha kubwa tutafute more skilled number 10 na ndicho ambacho coach alikisema tangu mechi dhidi ya Al-masry. Mashabiki vilaza Acheni mihemkoTatizo la kocha wa Simba akiongoza hata goli moja anawaza kulinda bila kuangalia uwezekano wa kupata goli jingine.
Huyu Ahoua awe anaingizwa kipindi cha pili Yuko slow na mvuvu kukaba namba yake acheze Mpanzu.
Shabalala alishaonekana ni njia na walikuwa wanapitia kwake maamuzi ya kumtoa yalichelewa
Mutale hana mchango wowote kocha aache mapenzi yake kwake.
Simba waweke washambuliaji wanaofika golini Leo cross nyingi zimepotea.
Watu kama nyinyi hamkawii kusema mmelogwa kisa hujafikia malengo yako.Simba hakuna timu ata kocha analifahanu ilo, ni Vitendo viovu vya kishirikina ndio vilivyo ifikisha Simba apo.
Ulikuwapo uwanjani au ulikuwa banda umiza? Maana mpira unaoongelea wewe siyo uliochezwa jana na Simba pale Unguja!!Leo baada ya ushindi kiduchu tunaanza kudanganyana kuwa mechi za nusu fainali hazina magoli mengi, pumbavu kabisa.
Hazina magoli mengi wakati RS Berkane anaongoza bao 2 huko hadi sasa half time halafu wewe unaleta uchawa wako wa kijinga jinga.
Wengine sisi tumeanza kwenda kuishangilia Simba enzi za akina Riziki Shawa, Mosses Mkandawile, Aston Pardon, Adam Selaman, marehemu Rafael Paul, enzi hizo uwanja wa shamba la bibi.
Leo tusiongopeane wala kuwatuma chawa kutetea ujinga, ukweli ni kuwa tumejimaliza wenyewe, leo Stellenbosch alikuwa anakufa hapa hapa nyumbani ila kocha kwa mapenzi yake kwa Ahoua ametuua.
Hakuna maneno yoyote ya kuambiana hapa ila Fahdu ametukwamisha sana leo, wachezaji wazuri aina ya Okajepha hawachezi mnatuwekea wachezaji wazito kama Ngoma, Chamou ambao hawana mchango wowote wa kuifikisha Simba mbele, sikatai ni wachezaji wazuri lakini sio kwa Simba.
Kwanini tuzidiwe wachezaji wazuri na Singida halafu sisi tujivunie Mukwala?
Viongozi wangu wa Simba sikusudii kuwaponda ila kiukweli kocha ameniumiza sana moyo wangu leo, maneno ya kiuongozi kuwa leo tumeshinda na tutakwenda kupambana ni kuondoana kwenye reli tu lakn ukweli ni kuwa wale wasauzi kule kwao wana privilege kubwa sana.
Anyway, hii imekwisha hata tukilalamika haisaidii maana ndio ishatokea tena, tupambane twende tukapasuane nao huko huko na inshaallah mm pia nitaenda huko bila kuomba nauli ya mtu au kujikomba kwa uongozi.
Nimeumia mnoooooooooo hamjui tu
Kama Uganga unafanya kazi, kwa nini wasingefunga angalao 5-0?? Huu ni ushabiki maandazi tu!!Bongo kikubwa una mganga mzuri, mechi nzuri kacheze tu chumbani na kimwana wako,,,,,south kuomba tu rimoti ya mganga isiishee chaji mapema
WEWE TAHIRA UNAWAZA SIMBA NA YANGA PUMBAFU.Mtu wa football hawezi kuwa na pumba hizo mzee.
Umezidiwa hoja unajifanya sio mtu wa football.
Kwanza niendelee kuwachana tu,Yanga mlivyo wabovu kundi lenu hakuna hata timu moja iliyofikia hatua ya nusu kwenye hio klabu bingwa,wote mmegongwa,ndio ujue hata nyie ni mabumunda tu.
Kwa kundi lile Simba hii mnayoibeza ingefika walau nusu.
Endeleeni kujifariji
Mbumbumbu ni wewe na wazazi wako walioshindwa kukufundisha adabuRage alituita mbumbumbu kwasababu ya mashabiki kama wewe. Ahoua aanzie bench!!?, yaani we ndo umecomment shudu kabisa. Kikosi kinapangwa mazoezini na coach ndiye anaejuwa uwezo wa kila mchezaji. mpanzu akicheza number 10, winger ya kushoto acheze nani? Valentino Mashaka, Ateba?. Tukubaliane tu kuwa first choice number 10 wetu sio mzuri kwenye One against one hivyo dirisha kubwa tutafute more skilled number 10 na ndicho ambacho coach alikisema tangu mechi dhidi ya Al-masry. Mashabiki vilaza Acheni mihemko
Acha tuchaji tunguliKama Uganda unafanya kazi, kwa nini wasingefunga angalao 5-0?? Huu ni ushabiki maandazi tu!!
Watu kama nyinyi hamkawii kusema mmelogwa kisa hujafikia malengo yako.
Unaposema Simba haina wachezaji unailinganisha na timu gani hapa africa mashariki kuelekea kati?
Unafikiri wachezaji wa daraja la juu atakubali umlipe mil 20 kwa mwezi
Simba walipofika ni maximum level ukishindanisha na uwezo wao wa kiuchumi
Tukubali bado kwa ukanda huu bado hatuna uwezo timu moja kuwa na wachezaji hata 5 wanalipwa dola 50k kwa mwezi
Unasema Uwezo mdogo na Simba imetinga nusu fainali?? Sijui wengine vichwani muna akili au mumejaza kamasi tu!!Na coment kwa kifupi sana mkuu
Hivi kwa Quality ile ya wachezaji wa simba.
Shida ya No 10 hakuna mtu asiyejua kuanzia msimu unaanza .
Kuanzia viongozi, mashabiki na Kocha.
Unajiuliza hivi kwanini Dirisha Dogo simba walisajili mchezaji Mmoja tu?
Hivi kwanini walishindwa kusajili No 10.
Mimi hua nasisitiza Quality ya wachezaji ni ndogo mno.
Uwezo wa kocha ni mdogo.
Pia uwezo wa viongozi wa Club ni mdogo.
Mimi niliwaomba sana akina Magoli kupata No 10 kabla ya dirisha dogo walinikatalia.
Nilipofika kwenye kundi la Yanga hakuna timu hata moja iliyofika nusu fainal nikajua ww ni zuzu!!, Unajua kundi la Yanga limekutana na timu zipi robo fainal?, Hizo timu mizania yake ni Sawa na Al masry au hawa stellen?.Mtu wa football hawezi kuwa na pumba hizo mzee.
Umezidiwa hoja unajifanya sio mtu wa football.
Kwanza niendelee kuwachana tu,Yanga mlivyo wabovu kundi lenu hakuna hata timu moja iliyofikia hatua ya nusu kwenye hio klabu bingwa,wote mmegongwa,ndio ujue hata nyie ni mabumunda tu.
Kwa kundi lile Simba hii mnayoibeza ingefika walau nusu.
Endeleeni kujifariji
Zamalek alivyotoa sare pale Bondeni si mlisema hawa jamaa kwisha habari yao? Hivi vitimu vya South ukiondoa Olrando na Kaizer havinaga uwanja wa nyumbani. Kwa mfano mbona hao hao wote walitoka sare na timu za Misri club bingwa? Je, nao biashara yao imeisha?Waliodhaniwa kuwa wana quality walishindwa kupata goli moja tu kwenye mashindano yao ili wafuzu waingie robo fainali kwa Mkapa.
Tz bado mabumunda ni mengi sana,na hata hayahoji,wao kazi kuwabeza Simba tu,Hahahaaaaaa
Wajinga wanaamini kuwa ukishakuwa uwanja wa nyumbani basi ni ufunge mabao mengi ili ukifika ugenini ukalale uwanjani. Waangalie takwimu waone siku hizi timu zinashinda nyumbani na ugenini bila tabu. Ahyl alimdunga Ibenge moja bila pale Cairo, mbona Ibenge alishindwa kupata hata bao moja kwa Ahyl alipokuwa nyumbani? Simba kwenye hii michuano kapoteza ugenini mara mbili tu kuanzia mtoano. Alifungwa 2 kwa 0 watu wakajua biashara imeisha, mbona alikuja kupindua meza na akafuzu? Mamelod alimfunga Espeance 1 bila kwao. Mbona Esperance na uarabu wake wote aliishia kutolewa? Siku hizi mpira umebadilika sana.Au hiyo simba ya hao wakina Mosses Mkandawile ilikuwa haishindi goal 1?. usitake tukutukane we mzee wewe
Kwa aina ya watu kama wewe kwanini manara asiseme huko wenye akili wawili, hili Manara tunampongeza alikuwa mbele ya mudaUsiwe Mjinga Mkuu penda Kujifunza kwa watu wanaokuzidi mimi siongelei upumbavu wa simba na yanga naongelea mpira.
SIBISHANI UPUMBAVU NAONGEA FACT.
Mashindano ya CAF yana hatua 5..
Mtoano.
Makundi.
Robo fainali.
Nusu Fainali.
Fainali.
Wachezaji wengi waliopo simba ni wachezaji wa Mtoano sio Makundi Robo wala Nusu Fainali ya CAFCC.
INSHORT SIMBA ANAZIDIWA QUALITY NA SINGIDA.