Vijana wengi walioingia kushabikia Simba miaka ya hivi karibuni ndio wanaiua timu yetu kwa sababu ya mambo ya kijinga

Simba hakuna timu ata kocha analifahanu ilo, ni Vitendo viovu vya kishirikina ndio vilivyo ifikisha Simba apo.
 
Au hiyo simba ya hao wakina Mosses Mkandawile ilikuwa haishindi goal 1?. usitake tukutukane we mzee wewe
 
Rage alituita mbumbumbu kwasababu ya mashabiki kama wewe. Ahoua aanzie bench!!?, yaani we ndo umecomment shudu kabisa. Kikosi kinapangwa mazoezini na coach ndiye anaejuwa uwezo wa kila mchezaji. mpanzu akicheza number 10, winger ya kushoto acheze nani? Valentino Mashaka, Ateba?. Tukubaliane tu kuwa first choice number 10 wetu sio mzuri kwenye One against one hivyo dirisha kubwa tutafute more skilled number 10 na ndicho ambacho coach alikisema tangu mechi dhidi ya Al-masry. Mashabiki vilaza Acheni mihemko
 
Simba hakuna timu ata kocha analifahanu ilo, ni Vitendo viovu vya kishirikina ndio vilivyo ifikisha Simba apo.
Watu kama nyinyi hamkawii kusema mmelogwa kisa hujafikia malengo yako.
Unaposema Simba haina wachezaji unailinganisha na timu gani hapa africa mashariki kuelekea kati?
Unafikiri wachezaji wa daraja la juu atakubali umlipe mil 20 kwa mwezi
Simba walipofika ni maximum level ukishindanisha na uwezo wao wa kiuchumi
Tukubali bado kwa ukanda huu bado hatuna uwezo timu moja kuwa na wachezaji hata 5 wanalipwa dola 50k kwa mwezi
 
Ulikuwapo uwanjani au ulikuwa banda umiza? Maana mpira unaoongelea wewe siyo uliochezwa jana na Simba pale Unguja!!

Hebu futa ujinga wako hapa
 
Ngapi ngapi mwaya ?
Naipenda Simba Mshabiki wa damu
 
Bongo kikubwa una mganga mzuri, mechi nzuri kacheze tu chumbani na kimwana wako,,,,,south kuomba tu rimoti ya mganga isiishee chaji mapema
Kama Uganga unafanya kazi, kwa nini wasingefunga angalao 5-0?? Huu ni ushabiki maandazi tu!!
 
1. Simba wamecheza walivyoweza,
2. Kocha aendelee kufanya anavyona inafaa malengo ilikuwa kufika nusu fainali hakuna mnalomdai.
3. Stellenbosch ni wazuri mechi za ugenini kuliko nyumbani mlitaka
Simba afunguke zaidi akandwe nyumbani?
4. Hakuna wachezaji kocha asilaumiwe.
5. Kwa jana droo ya 0-0 ilikuwa inatosha( sasa naelewa kwa nini Fadlu amefika mbali anafanya kile kinachohitajika tu)
 
WEWE TAHIRA UNAWAZA SIMBA NA YANGA PUMBAFU.
 
Mbumbumbu ni wewe na wazazi wako walioshindwa kukufundisha adabu
 

Na coment kwa kifupi sana mkuu

Hivi kwa Quality ile ya wachezaji wa simba.
Shida ya No 10 hakuna mtu asiyejua kuanzia msimu unaanza .
Kuanzia viongozi, mashabiki na Kocha.

Unajiuliza hivi kwanini Dirisha Dogo simba walisajili mchezaji Mmoja tu?
Hivi kwanini walishindwa kusajili No 10.

Mimi hua nasisitiza Quality ya wachezaji ni ndogo mno.
Uwezo wa kocha ni mdogo.
Pia uwezo wa viongozi wa Club ni mdogo.

Mimi niliwaomba sana akina Magoli kupata No 10 kabla ya dirisha dogo walinikatalia.
 
Naona ngoma ana nux tu badala ya kumsema yule mchezaji mshamba mshamba anaetaka kujipa ufalme wa kuibeba timu mgongoni mwake.. yule KIAZI AHOUA mnataka kumsema ngoma, haya ngoma kafanyaje sasa.. tafuteni namba 10 wa maana ili mtu kama ngoma box to box arahisishiwe kazi yake, sasa hivi ngoma haonekani mbovu kwenye kukaba sababu ana kagoma nyuma yake, ila mbele anaonekana hana mchango sababu ana AHOUA mbele yake... Chezaji la kuchezea dodoma jiji mnamsajili simba.
Kwetu kolombia mpuuzi kama yule anakula shaba.
 
Unasema Uwezo mdogo na Simba imetinga nusu fainali?? Sijui wengine vichwani muna akili au mumejaza kamasi tu!!

Toka mwaka 1993 Simba haijawahi kuvuka robo fainali ya mashindano yeyote ya CAC. Miaka zaidi ya 30 sasa kwa mara ya kwanza Coach Fadlu amefanikisha kuingia nusu fainali bado wachawi munaiwangia Simba.

Hebu tupisheni, tafuta timu nyingine ya kushabikia siyo lazima uoshabikie Simba
 
Nilipofika kwenye kundi la Yanga hakuna timu hata moja iliyofika nusu fainal nikajua ww ni zuzu!!, Unajua kundi la Yanga limekutana na timu zipi robo fainal?, Hizo timu mizania yake ni Sawa na Al masry au hawa stellen?.
 
Waliodhaniwa kuwa wana quality walishindwa kupata goli moja tu kwenye mashindano yao ili wafuzu waingie robo fainali kwa Mkapa.

Tz bado mabumunda ni mengi sana,na hata hayahoji,wao kazi kuwabeza Simba tu,Hahahaaaaaa
Zamalek alivyotoa sare pale Bondeni si mlisema hawa jamaa kwisha habari yao? Hivi vitimu vya South ukiondoa Olrando na Kaizer havinaga uwanja wa nyumbani. Kwa mfano mbona hao hao wote walitoka sare na timu za Misri club bingwa? Je, nao biashara yao imeisha?

Mimi naamini Simba haikuzidiwa kimbinu bali ni mchezo tu na Simba ukiondoa viwanja vya uarabuni huko kwingine ni kama nyumbani tu.

Ahyl Tripoli alitoka sare na Simba pale kwao tukajua Simba kafuzu kirahisi ila alipokuja Bongo nusura Simba atolewe sema walijikuta kwenye presha ya kusaka bao ndipo wakaotewa.

Hawa wa South hawana wachezaji wazuri zaidi ya Simba. Kinachotakiwa kwa Simba ni kujiamini na kucheza mpira wa kupata matokeo bila kupania wala Presha. Hawa jamaa ni wa kawaida sana hilo halina hata utaalam kulijua.

Na pale Zanzibar si ni kama tu Simba alikuwa ugenini? Hajawahi kuchezea hapo mechi hata moja ya CAF vipi leo useme kuwa yupo nyumbani? Hawa jamaa hawana chochote cha kuizidi Simba labda Simba wao watake tu kujitoa ila uwezo wa kufuzu wanao.
 
Au hiyo simba ya hao wakina Mosses Mkandawile ilikuwa haishindi goal 1?. usitake tukutukane we mzee wewe
Wajinga wanaamini kuwa ukishakuwa uwanja wa nyumbani basi ni ufunge mabao mengi ili ukifika ugenini ukalale uwanjani. Waangalie takwimu waone siku hizi timu zinashinda nyumbani na ugenini bila tabu. Ahyl alimdunga Ibenge moja bila pale Cairo, mbona Ibenge alishindwa kupata hata bao moja kwa Ahyl alipokuwa nyumbani? Simba kwenye hii michuano kapoteza ugenini mara mbili tu kuanzia mtoano. Alifungwa 2 kwa 0 watu wakajua biashara imeisha, mbona alikuja kupindua meza na akafuzu? Mamelod alimfunga Espeance 1 bila kwao. Mbona Esperance na uarabu wake wote aliishia kutolewa? Siku hizi mpira umebadilika sana.
 
Kwa
Kwa aina ya watu kama wewe kwanini manara asiseme huko wenye akili wawili, hili Manara tunampongeza alikuwa mbele ya muda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…