Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi kweli mtu anaweza kuwachukia ndugu na wazazi wake tu?Uchumi unatufanya tunakuwa wehu na kujibu ujinga.Watoto wala hawana haja ya kuhimizwa kutunza wazazi, tatizo unakuta watoto wenyewe wako mjini wanabangaiza tu wana watoto wao pia, wake, michepuko, madeni n.k.
View attachment 3230371
Watuhurumie tu.Leo hii mimi hamsini kasarobo niwachukie ndugu na wazazi ili iwe nini?Nimchukie mama ambaye ni bibi wa watoto wangu na vitukuu kweli?Maisha tu.Wazazi wenyewe wanajua vijana mjini wana hali tete
Pia wengi hawaelewi mfumo wa maisha umebadilika sana, zamani ilikuwa rahisi watu kutunza wazazi kwa sababu jamii kwa kiasi kikubwa ilikuwa inategemea mashamba na mifugo, sasa hivi mfumo wa maisha kutegemea ajira za laki saba, boda na vibarua vya saidia fundi maisha ni tete sana kwa vijana wengi, wanaishia kuishi maishi ya kujikimu tu kwa siku.Mtoto hakuhitaji kuja duniani kuteseka,umemzaa mpiganie mpaka akae sawa kiuchumi...coz wewe ndiye uliyetaka aje duniani...
Mtoto akitoboa atakukumbuka tu ila sasa isiwe kama fimbo...at nimemlea kwa shida lakini hanikumbuki...hapana hapana ...hilo ni zigo lako ulilitaka mwenyewe...
Hata hivyo sisi watoto tukijipata tusisahau wazazi🙏
HakikaPia wengi hawaelewi mfumo wa maisha umebadilika sana, zamani ilikuwa rahisi watu kutunza wazazi kwa sababu jamii kwa kiasi kikubwa ilikuwa inategemea mashamba na mifugo, sasa hivi mfumo wa maisha kutegemea ajira za laki saba, boda na vibarua vya saidia fundi maisha ni tete sana kwa vijana wengi, wanaishia kuishi maishi ya kujikimu tu kwa siku.
Who's Martha...🤔Mfano matha yule mtasema hana lolote kashindwa mtunza mama yake
Sawa Baba! Ni ushauri mzuri umetupa!Watoto wala hawana haja ya kuhimizwa kutunza wazazi, tatizo unakuta watoto wenyewe wako mjini wanabangaiza tu wana watoto wao pia, wake, michepuko, madeni n.k.
View attachment 3230371
Umesoma alichoandika?Sawa Baba! Ni ushauri mzuri umetupa!
Lakini sisi majobless ambao kujitunza sisi wenyewe ni ngumu? Tutaweza kweli kwa wazazi?
Watoto wengine ndio wanatunzwa na wazazi waoNashukuru Mungu, nimewatuza wazee wangu wote wawili Kwa Hali na Mali Hadi pale Mungu alipowachukua.. Wapumzike Kwa Aman, naendelea yote waliyoniachia
hahahaha Kwa Hali ya Sasa naona Iko hivyoWatoto wengine ndio wanatunzwa na wazazi wao
Umesoma alichoandika?