Vijana wenzangu tusio na ajira tuungane watu 10 tuunde kikundi cha ujasiriamali wa bidhaa na usafi wa mazingira pamoja na fumigation

Vijana wenzangu tusio na ajira tuungane watu 10 tuunde kikundi cha ujasiriamali wa bidhaa na usafi wa mazingira pamoja na fumigation

Idea yako ni nzuri sana kama itakuwa excuted na wewe pekeako maana utakuwa na common goal tofauti na kuwa kikundi hapa kila mtu atakuwa na malengo yake siku ya siku ntashikiana mapanga tu.
 
Kuna Jamaa alikuja hivi hivi na vikao tukawa tunafanyiw Sabasaba na sinza. Ilikuwa mwaka 2017.

Yule jamaa Ni tapeli na yumo humu.

Kwahiyo nawaomba muwe makini.
 
Nashukuru mkuu,kwa upande wangu mimi ni tofauti kabisa na huyo alivo kuja na wazo kama hili na huenda alikusanya pesa zenu nanyi mka mpa.
Kwa wazo langu mimi hakuna mtu atakaye shika ama kukabidhiwa pesa na hata wasimamizi wa kutoa ama kuweka pesa Bank lazima tuchague walio na makazi ya kudumu vinginevyo tuta tafuta mtu wa kusimamia na tuta mlipa pale tu tunapo muhitjai si swala la kukabidhiana pesa mkononi.
Tuta nunua vitendea kazi vita kaa store na tuta chagua mtu mwenye mamlaka ya store ili kuto mpa mtu mamlaka zote kila mmoja atakuwa na wajibu wa usimamizi wa kila jukumu atakalo pewa.
Kuna Jamaa alikuja hivi hivi na vikao tukawa tunafanyiw Sabasaba na sinza. Ilikuwa mwaka 2017.

Yule jamaa Ni tapeli na yumo humu.

Kwahiyo nawaomba muwe makini.
 
Back
Top Bottom