Think2
JF-Expert Member
- Jan 3, 2025
- 3,087
- 6,024
Naandika huu uzi kutokana na tukio linalotrend mtandandaoni kuwa mume amempiga risasi ya kichwa mke kisha kajisalimisha polisi wanavyosema hao wenza walikuwa na mgogoro wa mali demu alitaka wagawane mali.
Ni hivi unapooa mchaga lake ni moja ukiwa na mali au mashamba yeye itafikia stage atatamani wewe ufe au akuue ili mali ziwe zake pekee yake nimeshuhudia visa vingi sana vya wanawake wa kichaga sijui wamachame wanaua wanaume zao kila tamaa ya mali.
Kwahiyo wewe unapojitutumua unaenda kuoa huko andika kabisa wosia mapema wale wanawake sio wanatamaa ya mali kupindukia.
Yaani upambane miaka mingi upate mali afu aje mwanamke from no where kisa ndoa eti tugawane pasu oyaa weee hua inauma *******.