Vijana wenzangu unapoamua kuoa mwanamke mchaga unapaswa kujua haya

Vijana wenzangu unapoamua kuoa mwanamke mchaga unapaswa kujua haya

Kaka zao waje wathibitishe hili.
Pale mji wa Moshi kaa na wazee above 55 yrs mkiwa mnakunywa kahawa ama mbege wadodose watakuambia hivi:
Machame ni pazuri pa kuolewa na si kuoa
Ukitaka mke mke kweli nenda Rombo (ni wavumilivu) ila uwe timamu.
Marangu, lazima usaidiwe. Kama mmezaa watoto 4 basi ujue 2 si wa kwako.
In conclusion: Ukitaka kuoa uchagani nenda palipo na wakatoliki wengi, kuna unafuu mkubwa.
NB: Sehemu zenye Uislamu shida ni kilichotangulia. Wachaga walislimu ili kichinjio cha Bomang'ombe kisihamishwe - apatikane mchinjaji.
 
Unajidanganga mama yangu ni mchaga

Mimi na 38's Nina dada wawili mbele hivyo. Mpaka baba anafariki. Mwaka huu

Yeye na mama walikua na anniversary 40's na ushee mama aliwai kutamkiwa na ba mkubwa eti Mali Zina ongezeka asije muua baba

Mama siku. Ya msiba wa mzee alikua analia sana sanaa ni mfano wa true love from scratch from the beginning to something

Pumzika kwa amani baba angu uwepo wako na umiss
Bibi mkubwa kamtanguliza Mzee!!
 
Ukweli kulingana na ubongo wako. Mimi nimesoma na nina exposure na bahati nzuri sana huwa natumia sayansi kufikia conclusions zangu na siyo hisia... Unataka kuniletea imani za kipindi watu wakiamini baridi ndiyo inasababisha pneumonia hapa?
Kwamba wewe umesoma kitu gani? Kwamba wewe una uchumi gani kunizidi mimi? tena mtu mwenyewe unatumia jina bandia humu ndani tena unajisifu umesoma kwa kufundishwa na Wakina kabudi na kitila ?
 
Hata Awe MSABATO, Hata awe Mlokole, Hata awe Swala 5, Ukweli ni kwamba ASILI Ya mtu ipo Palepalee.... Kuna Makabila Hata Nipewe Pesa Sintokubali kuOA Na kuishi Nao,, 1. Wachaga 2. Wahaya 3. Wanyakyusa.
Mnyakyusa chaguo bora zaidi ya hawa
 
Acha upotoshaji, dawa ya mwanamke ni mwanamke tu.

Ukiona mke haeleweki mpandishe cheo awe mke mkubwa, mchawi ni pesa tu.

Kisa na mkasa cha kwenda kukaa maporini halafu mema ya nchi ale nani?

Mnazidiwa akili hata na walimu wa madrasa wanaowa wake wengi wanawake kazi ni kushindana kumuhudumia Ustaadhi na wanapangiwa zamu leo analala huku, kesho kule keshokutwa kule.

Shida usomi umewazidi hamuulizi elimu ya maarifa ya kuishi na wanawake haifundishwi darasani wala mtandaoni.
Uowe asijue,note this,akijua vita unayo!!, ajabu ya wanawake,yeye akigongwa anaona ni sawa tu,wewe ukiwa na kabinti nje anaona hapana kabisa na kosa kubwa sana.
 
Back
Top Bottom