Vijana wenzangu unapoamua kuoa mwanamke mchaga unapaswa kujua haya

Vijana wenzangu unapoamua kuoa mwanamke mchaga unapaswa kujua haya

mkuu najalibu kukuelewa japo sina hakika na ulichosema. nmeoa mnyakyusa tupo fresh tu ila unaitaji kchwani uwe smart.kwa uzoefu wangu nyakyusa grl hana tamaa ya mali ila anapend sana mamlaka so ukiwa fala atakupanda kichwani..huwa namtania wf kuwa wew mnyakyusa af me mnyamwez so umekuja mahali sahihi
Sawaaaaaa. Wewe upo smart kumzidi yeye
 
Naandika huu uzi kutokana na tukio linalotrend mtandandaoni kuwa mume amempiga risasi ya kichwa mke kisha kajisalimisha polisi wanavyosema hao wenza walikuwa na mgogoro wa mali demu alitaka wagawane mali.

Ni hivi unapooa mchaga lake ni moja ukiwa na mali au mashamba yeye itafikia stage atatamani wewe ufe au akuue ili mali ziwe zake pekee yake nimeshuhudia visa vingi sana vya wanawake wa kichaga sijui wamachame wanaua wanaume zao kila tamaa ya mali.

Kwahiyo wewe unapojitutumua unaenda kuoa huko andika kabisa wosia mapema wale wanawake sio wanatamaa ya mali kupindukia.

Yaani upambane miaka mingi upate mali afu aje mwanamke from no where kisa ndoa eti tugawane pasu oyaa weee hua inauma *******.
Narudia tena kusema hili,mwanamke akishapata watoto na wewe,mkasomesha mkawa na nyumba,akishapata usalama wa maisha yake kwa mbele,fahamu hana haja tena na wewe, mwanaume ukishafika stage hiyo yaani,mna nyumba gari watoto wamesoma,ondoka jifanye mkulima kaa mbali,sana
🛑 Real warning 🛑
 
Kumbe, kwahiyo Wana macho kama ya paka katika kujua kama huko mbeleni utatusua au utaendelea kuwa mbabaishaji? kwahiyo kiufupi kwao hapendwi mtu inapendwa account yake? Inamaana huwezi kupata mapenzi ya dhati kwa mwanamke wa kichaga kama account haisomi? Ijapokuwa naamini watakuwepo wanawake wa kichaga wenye mtazamo tofauti linapokuja suala la mahusiano au ndoa

Ilikuwa zamani hiyo. Longtime sana.
 
Kila nafsi itaonja umauti ,acha kutisha watu...Ila nimefurahi mtu kufa ,lazima dunia ichangamke kidogo ,watu ni wengi maisha magumu.

Jamaa kachoka kunywa bia ,ngoja aende jela kidogo.
 
Narudia tena kusema hili,mwanamke akishapata watoto na wewe,mkasomesha mkawa na nyumba,akishapata usalama wa maisha yake kwa mbele,fahamu hana haja tena na wewe, mwanaume ukishafika stage hiyo yaani,mna nyumba gari watoto wamesoma,ondoka jifanye mkulima kaa mbali,sana
🛑 Real warning 🛑
Acha upotoshaji, dawa ya mwanamke ni mwanamke tu.

Ukiona mke haeleweki mpandishe cheo awe mke mkubwa, mchawi ni pesa tu.

Kisa na mkasa cha kwenda kukaa maporini halafu mema ya nchi ale nani?

Mnazidiwa akili hata na walimu wa madrasa wanaowa wake wengi wanawake kazi ni kushindana kumuhudumia Ustaadhi na wanapangiwa zamu leo analala huku, kesho kule keshokutwa kule.

Shida usomi umewazidi hamuulizi elimu ya maarifa ya kuishi na wanawake haifundishwi darasani wala mtandaoni.
 
Inasikitisha sana ila mpaka wamfikia hatua ya kugawana mali means kuna sababu.

Sababu kuu ambazo zinasababisha migogoro ya kwenye ndoa kubwa kabisa ni INFIDELITY.

Mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe ,ukweli mchungu ukiona ndoa imevunjika basi mwanamke amechangia zaidi ya 90%.
I disagree ! The opposite is true


90% ya ndoa kuvurugika Chanzo ni wanaume

Umezungumzia uaminifu

Kama umeoa a rational woman ambae amepitia tu malezi ya kawaida …. 90% ni hardly ku comprise integrity yake ….

Studies zinaonesha kwenye ndoa waoanza kucheat ni wanaume….over time , mwanamke anagundua …. Kumbuka na yeye inamuumiza snaa matokeo yake hajioni tena kama ni sehemu yako ….. Kama Hana ukomavu sana na yeye atatoka but wewe ndio chanzo

Worst part wanaume wana justify hii kitu kuwa i am a man ni kawaida kugonga nje

Sio kila mwanamke can tolerate that mana hata risk ya kumuua na magonjwa inakuwa kubwa …. Wenye akili huondoka kwa amani

Ukiona mke ana cheat but mwanaume hacheat… ujue hata kwenye dating yenu hukufanya vetting vema , aidha, may be wewe ndio umeolewa na mwanamke

Ndio maana Muslims’ women wapo indoctrinated tangu wadogo kuwa mitara ni sunna ya mtume na mungu ameruhusu….. ukipinga basi unampinga mungu.. that is why Muslims women wanakubali kiutumwa….. ukiwauliza deep down … hawatak kabisa hiyo mambo


Family yenye mitara haipo stable at all
Wanaume ni Chanzo
 
Acha upotoshaji, dawa ya mwanamke ni mwanamke tu.

Ukiona mke haeleweki mpandishe cheo awe mke mkubwa, mchawi ni pesa tu.

Kisa na mkasa cha kwenda kukaa maporini halafu mema ya nchi ale nani?

Mnazidiwa akili hata na walimu wa madrasa wanaowa wake wengi wanawake kazi ni kushindana kumuhudumia Ustaadhi na wanapangiwa zamu leo analala huku, kesho kule keshokutwa kule.

Shida usomi umewazidi hamuulizi elimu ya maarifa ya kuishi na wanawake haifundishwi darasani wala mtandaoni.
Utafuata uchawi sasa!..vita vya giza!...(Jitenge tu jigongee huko mbali kimya kimya)
 
Huyu demu niliye naye ni wa Rombo, sasa sijui hapo nimejichanganya pia, au vipi wadau!!
Kaka sio Kila mchaga ni jau hapana hila tunasemea wengi wao Ndugu yangu kakutana na tukio kutoka kwa Binti wa uko uko Rombo Tena mama mrombo na baba mrombo kiufupi ni mrombo pure baada ya Ndoa miaka 2 mbele mwanamke akataka wagawane mali.
 
I disagree ! The opposite is true


90% ya ndoa kuvurugika Chanzo ni wanaume

Umezungumzia uaminifu

Kama umeoa a rational woman ambae amepitia tu malezi ya kawaida …. 90% ni hardly ku comprise integrity yake ….

Studies zinaonesha kwenye ndoa waoanza kucheat ni wanaume….over time , mwanamke anagundua …. Kumbuka na yeye inamuumiza snaa matokeo yake hajioni tena kama ni sehemu yako ….. Kama Hana ukomavu sana na yeye atatoka but wewe ndio chanzo

Worst part wanaume wana justify hii kitu kuwa i am a man ni kawaida kugonga nje

Sio kila mwanamke can tolerate that mana hata risk ya kumuua na magonjwa inakuwa kubwa …. Wenye akili huondoka kwa amani

Ukiona mke ana cheat but mwanaume hacheat… ujue hata kwenye dating yenu hukufanya vetting vema , aidha, may be wewe ndio umeolewa na mwanamke

Ndio maana Muslims’ women wapo indoctrinated tangu wadogo kuwa mitara ni sunna ya mtume na mungu ameruhusu….. ukipinga basi unampinga mungu.. that is why Muslims women wanakubali kiutumwa….. ukiwauliza deep down … hawatak kabisa hiyo mambo


Family yenye mitara haipo stable at all
Wanaume ni Chanzo
Nakubali mtazamo wako pia mkuu ,siwezi kupinga ila vitabu vya dini vimesisitiza tuishi na wanawake kwa akili sana na tuwapende na pia mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake means mwenye jukumu kubwa la kumaintain ndoa ni mwanamke ndiyo maana mwanamke anaweza kuishi na mwanamme hata hampendi kabisa na ndoa ikadumu lakini si kinyume chake ,nataka kusema nini hapo? Kwamba mwanamke ameumbwa uwezo mkubwa wa kuvumilia mambo so hata akigundua mmewe anacheat ataumia lakini handling yake na kuweza kuabsorb ni kubwa tofauti na mwanamme akigunduma mkewe anachiti.
 
Story za vijiwe vya kahawa

Nimesoma nonsense sijawah ona

Kama habar hujaisikiliza vizur usilete humu huyo aliyempiga risasi ndio mchaga Akina sisi machame usipurupuke
 
Hayo makabila hata ummilikishe mali zote still utakufa TU kwani akishapata mali anahitaji uhuru wa kubaki peke yake ajiamulie mambo atakavyo.
Unakula Kona au unaanzisha nyumba ndogo unamwacha na familia pale,utakua unaenda kumcheki mara Moja moja ukijisikia!
 
Huyu demu niliye naye ni wa Rombo, sasa sijui hapo nimejichanganya pia, au vipi wadau!!
Kaka sio Kila mchaga ni jau hapana hila tunasemea wengi wao Ndugu yangu kakutana na tukio kutoka kwa Binti wa uko uko Rombo Tena mama mrombo na baba mrombo kiufupi ni mrombo pure baada ya Ndoa miaka 2 mbele mwanamke akataka wagawane mali.
Duhh hii nayo kali, kiufupi Mungu atusaidie#
 
Huna uwezo wa kuwapata. Nimesema hivyo kwa sababu kwa kutumia saikolojia, maandishi yako yanaonyesha kichwani uliyo sifuri. Ukiambiwa utoe research ya kuonyesha ndoa nyingine zina mafanikio, amani na kudumu kulinganisha na makabila uliyotaja nina uhakika huna. Na zaidi... kama wewe huwezi kuwaoa basi wako wengi wanaowaoa. Wewe baki na mnaoendana.
Uwezo wa Kuwapata Ninao Coz Wote hao Niliowataja Nimeshadate Nao Nawafahamu Vizuri tuu, Nilichokiandika ni FACT, Asili ya Mtu ipo Palepale.
 
Back
Top Bottom