Kuna sifa mbalimbali kwenye makabira, kama mademu wa Kitanga wana pepo yao kwenye mapenzi ya kitandani.Wagogo,warangi.wabena,wanyakyusa,wachaga mwishoe mtasema wamasai.kunawakati mijutu inakosa akili sijui…
Vijana tusipende kufuata mikumbo,halafu Gunner11 na huyo katuni mnashida gani?
Asante Kwa taarifa hapa ni kuchapa na kutembea tu.Hao ni wazuri wa sura na rangi nadhani kuliko wanawake wengi tz but ni Malaya sijapata ona, jina lilinitoka nakaja kumbuka nishapost hapo juu
Hakuna fala anayeweza kuoa makabila tajwa hapo. Mpaka uwe smart kwanza uwe umeenda shule , halafu uwe nazo mfukoni. Kinyume na hapo utaishia kwa wasukuma n.k
Akiwa mmachame ugumu unaongezeka.Sema wachaga nao kuwatetea muda mwingine ni kazi 😂😂😂
Kaongea ukweli unaouma sana kiufupi yupo sahihi kwasababu wanawake wa kichaga ni mafia sana kwenye maliHuna uwezo wa kuwapata. Nimesema hivyo kwa sababu kwa kutumia saikolojia, maandishi yako yanaonyesha kichwani uliyo sifuri. Ukiambiwa utoe research ya kuonyesha ndoa nyingine zina mafanikio, amani na kudumu kulinganisha na makabila uliyotaja nina uhakika huna. Na zaidi... kama wewe huwezi kuwaoa basi wako wengi wanaowaoa. Wewe baki na mnaoendana.
Kwenda shule ndio kukoje na Kuna uhusiano gani na ndoa?sasa mpaka uwe nazo ndio uwaoe hauoni kuwa hao ni malaya wanaojiuza?Hakuna fala anayeweza kuoa makabila tajwa hapo. Mpaka uwe smart kwanza uwe umeenda shule , halafu uwe nazo mfukoni. Kinyume na hapo utaishia kwa wasukuma n.k
Haya kwahiyo waTanga wazuri kitandani,halafu…au unafikiria shimo tu.Tutafika kweli?Kuna sifa mbalimbali kwenye makabira, kama mademu wa Kitanga wana pepo yao kwenye mapenzi ya kitandani.
Haujawahi kusikia kısa cha mama Regina, Mengi, sumu, house-girl? Machame hiyo.Aliyempiga risasi mke wake anaitwa Kweka.
Shamba la bwana Heri na ng'ombe ni wa bwana Heri.
Kweka ni Machame OG kama Freeman Mbowe.
Tuelezee kidogo mseeHaujawahi kusikia kısa cha mama Regina, Mengi, sumu, house-girl? Machame hiyo.
hearsay.Tuelezee kidogo msee
Duuhhearsay.
Tukuulize wewe P.Diddy.Binadamu bhn tunapigania vitu ambavyo tutaviacha muda wowote
Alafu watu wasichokijua ni kuwa wachaga ni jina tu la kumaanisha watu wote waliokua wakiishi chini ya vichaka vya msitu wa mlima Kilimanjaro kuanzia magharibi ya mlima mpaka kuelekea mashariki ya mlima ambapo kuanzia magharibi Kuna wamachame , unaenda kati Kuna wakibosho na wauru, wa old moshi ukienda kusini mashariki Kuna wavunjo ambao inajumuisha marangu, kirua, kilema nk alafu ukielekea mashariki Kuna wasseri, wamkuu mpaka unafika maeneo ya tarakea lakini kiuhalisia watu hawa hawaendani in terms of origin, common ancestor nk, ni kama wachaga ni neno lililokuwa likijumuisha vikundi vya watu hawa lakini hawana uhusiano wa moja kwa moja wa kichimbuko na asili yao, ni kama kusema hivi wachaga wa vunjo na wa machame hawashabihiani kwa damu, chimbuko mpaka lugha ndiyo maana ni rahisi kwa mmeru wa chini ya mlima meru arusha kuelewana na mmachame kuliko kuelewana na mmarangu in terms of lugha hata chimbuko lao inasemekana kuwa ni moja
Ila linapokuja suala la pesa wanafan
ahnn
na
Uzuri wa maisha ni kuwa una uhuru wa kuoana wanawake malaika kutoka kwenye makabila mengine ili upate mafanikio ya haraka au uepuke unachohofia. Kwa nini utoe mapovu? Umelazimishwa?Kaongea ukweli unaouma sana kiufupi yupo sahihi kwasababu wanawake wa kichaga ni mafia sana kwenye mali
Kumbe hata ku date nao tayari halafu unakuja tena huku kulia-lia? Ukisikia akili matope ndiyo hizi. Sasa ulipokuwa una date nao wangekuua ungemlaumu nani? Yaani wanawake wa hatari namna hiyo unakaa nao karibu? Idiot!Uwezo wa Kuwapata Ninao Coz Wote hao Niliowataja Nimeshadate Nao Nawafahamu Vizuri tuu, Nilichokiandika ni FACT, Asili ya Mtu ipo Palepale.