Vijana wenzangu unapoamua kuoa mwanamke mchaga unapaswa kujua haya

Vijana wenzangu unapoamua kuoa mwanamke mchaga unapaswa kujua haya

Duh!! Ni hatari sana, ijapokuwa sitaki kuamini kuwa wanawake wote wa kabila hilo wako hivyo lakini kwa scenario hizi basi nikiri ni ngumu sana kuishi na mwanamke wa kabila hilo hasa kama umejaaliwa na Mungu neema ya majumba na ukwasi wa kutosha

Na kama huna chochote mchaga hawezi kubali umuoe! Mpaka kuwepo na kitu au future. Wachaga ni mabigwa wa kutazama mbele (maono), mwanamke anajua tuu hili jamaa litakuja kutoboa. 😊
Wachaga wana macho ya mwewe.
 

Attachments

  • IMG-20250122-WA0047.jpg
    IMG-20250122-WA0047.jpg
    32.8 KB · Views: 7
Na kama huna chochote mchaga hawezi kubali umuoe! Mpaka kuwepo na kitu au future. Wachaga ni mabigwa wa kutazama mbele (maono), mwanamke anajua tuu hili jamaa litakuja kutoboa. 😊
Wachaga wana macho ya mwewe.
Kumbe, kwahiyo Wana macho kama ya paka katika kujua kama huko mbeleni utatusua au utaendelea kuwa mbabaishaji? kwahiyo kiufupi kwao hapendwi mtu inapendwa account yake? Inamaana huwezi kupata mapenzi ya dhati kwa mwanamke wa kichaga kama account haisomi? Ijapokuwa naamini watakuwepo wanawake wa kichaga wenye mtazamo tofauti linapokuja suala la mahusiano au ndoa
 
Angalia viongozi wengi na matajiri wengi waliofanikiwa na kuwahi kung'ata mashuka wengi wao wameoa uchagani...

Kwangu mimi nitaendelea kuamini kuwa mkurya, msukuma, mrangi, mha, mjaluo ni makabila bora ya kuoa!

Lakn the rest ni kula tunda kimasihara unapita hv!
 
Back
Top Bottom