Vijana wezangu nipeni elimu kijana wenu

Teknotee

Member
Joined
May 9, 2024
Posts
36
Reaction score
44
Wakuu, naomba kuuliza: Je, kuna madhara yoyote yanayoweza kutokea unapokula mfululizo karanga mbichi, mbegu za maboga, muhogo mbichi, na vyakula vinavyosadikika kuimarisha mfumo wa uzazi wa mwanaume, lakini hushiriki kabisa tendo la ndoa kwa muda mrefu, ila unakula tu kujiimarisha na kujiweka sawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…