Vijana wote ambao umri wenu umekwenda na hakuna lolote mlilofanya, mnadhani ni wapi mlikosea?

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,217
Reaction score
3,694
Kama mnavyojua katika maisha wapo wanaofanikiwa na wapo ambao hawajafanikiwa maana Kila ukijiangalia huna lolote, huna chochote yaani Kila ukijiangalia jinsi ulivyokuwa miaka iliopita bado uko vile vile.

Sasa kwa wale vijana ambao umri umekwenda na katika maisha haya hakuna mlilolifanya mnadhani mlikosea wapiii.
 
Wakikwambia kua "Bora uhai" utaridhika?

Kwa tuliosomea Cuba,inaonekana kua wewe ndio umri umesonga na mambo hayaeleweki na hujui umekosea wapi,so unataka kuona wenzako wamekosea wapi,

Endelea kupambana,hata Babu wa Loliondo alitoboa uzeeni,usikate tamaa,

If your still Alive,you can be a King.
 
Na pia atuambie "huna lolote,huna chochote" ndio maana yake nini ili tujijue, isije ikawa tumepotea na hatujui kuwa tumepoteana!!
Na kama hao vijana hawana lolote wala chochote,watawezaje kuona huu uzi wake na kumjibu?

Kutokua na chochote wala lolote ni kutokua na simu pia wala Internet bundle.
 
Kufanikiwa kwenye nyanja ipi hebu eleza
 
Kuwa uyaone, siyo maghorofa, John Boko amesaini mkataba na timu ya JKT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…