Vijana wote ambao umri wenu umekwenda na hakuna lolote mlilofanya, mnadhani ni wapi mlikosea?

Kama mnavyojua katika maisha wapo wanaofanikiwa na wapo ambao hawajafanikiwa maana Kila ukijiangalia huna lolote, huna chochote yaani Kila ukijiangalia jinsi ulivyokuwa miaka iliopita bado uko vile vile.

Sasa kwa wale vijana ambao umri umekwenda na katika maisha haya hakuna mlilolifanya mnadhani mlikosea wapiii.
Kila mtu Ana muda wake ambao. Kimsingi tutie tutie
Kama mnavyojua katika maisha wapo wanaofanikiwa na wapo ambao hawajafanikiwa maana Kila ukijiangalia huna lolote, huna chochote yaani Kila ukijiangalia jinsi ulivyokuwa miaka iliopita bado uko vile vile.

Sasa kwa wale vijana ambao umri umekwenda na katika maisha haya hakuna mlilolifanya mnadhani mlikosea wapiii.
Ushauri wangu kwa vijana mwenzangu. Tuendelee kufanya Juhudi kwenye kazi zetu lakin pia tutambue kila mtu Ana mda wake
 
Back
Top Bottom