Vijana wote ambao umri wenu umekwenda na hakuna lolote mlilofanya, mnadhani ni wapi mlikosea?

Vijana wote ambao umri wenu umekwenda na hakuna lolote mlilofanya, mnadhani ni wapi mlikosea?

Kama mnavyojua katika maisha wapo wanaofanikiwa na wapo ambao hawajafanikiwa maana Kila ukijiangalia huna lolote, huna chochote yaani Kila ukijiangalia jinsi ulivyokuwa miaka iliopita bado uko vile vile.

Sasa kwa wale vijana ambao umri umekwenda na katika maisha haya hakuna mlilolifanya mnadhani mlikosea wapiii.
Hakuna walilofanya maana yake nini?
Mlitaka wafanye nini?
Mlitarajia wafanye nn?
 
Tatizo linaanziaga hapa!

1000076725.jpg
 
Hilo neno la "hamna lolote" litoe kwanza

Haiwezekeni binadamu aliye hai asifanye lolote yaani una Manisha hata kudinya ama kukojoza hajawqhi fanya ?
 
Ebwana saa mi nkae wapi ama nipande juu ya meza ama nije kati moja kwa moja nije kucheza..........

mimi napenda sana kupanda juu ya meza 😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom