Ndio maana nimeulizaNa kama hao vijana hawana lolote wala chochote,watawezaje kuona huu uzi wake na kumjibu? Kutokua na chochote wala lolote ni kutokua na simu pia wala Internet bundle.
Dah huu uzi umenifanya nilie sana
Kwahy mm n maiti inayotembea πHahaha imekuweje
Hakuna walilofanya maana yake nini?Kama mnavyojua katika maisha wapo wanaofanikiwa na wapo ambao hawajafanikiwa maana Kila ukijiangalia huna lolote, huna chochote yaani Kila ukijiangalia jinsi ulivyokuwa miaka iliopita bado uko vile vile.
Sasa kwa wale vijana ambao umri umekwenda na katika maisha haya hakuna mlilolifanya mnadhani mlikosea wapiii.
Hapo Sasa....Una maana gani kusema hamna lolote walilofanya, kwani wamekufa hadi wasifanye kitu??