Vijana zaidi ya 500 wamekutwa wamehifadhiwa sehemu mbalimbali Mkoa wa Kilimanjaro wakifanya mafunzo yasiyojulikana

Vijana zaidi ya 500 wamekutwa wamehifadhiwa sehemu mbalimbali Mkoa wa Kilimanjaro wakifanya mafunzo yasiyojulikana

Hawa vijana wana umri
kati ya miaka 18 na miaka 20.
Mkuu wa Mkoa amewaagiza,amewaamuru warudi mikoa walikotoka.
Swali langu ni kwamba,kwa nini
Radia One wakubali kutangaza habari za namna hii,kwa nini wakubali kutangaza habari kwa staili hii. Mafunzo yasiyojikana ndio mafunzo gani?
Jamhuri inajua kulazimisha
 
Vijana 500 wamekamatwa mjini Moshi mkoani Kilimanjaro wakiwa wanapatiwa mafunzo yasiyo rasmi mafichoni.

Mkuu wa wilaya ya Moshi mh Mtanda amesema vijana hao wametoka katika mikoa mbalimbali na viongozi wao 6 wanahojiwa na polisi.

Source: ITV habari
Asante Yesu!
Operation iendelee tu!
 
Hii taatifa imekua exaggerated mno na media. Hata viongozi walivyoisema ni tofauti na uhalisia, kama kiki vile. Alliance Global Motion hawajaanz kutoa seminar hizo leo. Tuendelee kufuatilia, kesi hii itakosa nguvu, kama ile ya Q-net ilivyokua kule Hai wakati wa Sabaya
 
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita huko Mbeya kunavijana walitapeliwa kwa mtindo huu, viongozi wasitafute kututia hofu, ni vipi mtu akafundishwe uhalifu huku familia yake inalipa ada!
 
Hawa alliance si wanauza madawa ya binadamu Kwa ule mfumo WA networking?

Back
Top Bottom