Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti hawajui mafunzo gani walikua wanapewa alafu wameambiwa tu warudi makwao 🤣🤣🤣Sasa kama hawajui ni mafunzo gani kwanini hawakuwauliza kabla ?
Huku ni kujenga taharuki na kuonekana hawapo serious na kazi zao...,
Taarifa haijashiba vizuri! Wamekutwa mazingira gani?Kwa nini Kilimanjaro?
Jamhuri inajua kulazimishaHawa vijana wana umri
kati ya miaka 18 na miaka 20.
Mkuu wa Mkoa amewaagiza,amewaamuru warudi mikoa walikotoka.
Swali langu ni kwamba,kwa nini
Radia One wakubali kutangaza habari za namna hii,kwa nini wakubali kutangaza habari kwa staili hii. Mafunzo yasiyojikana ndio mafunzo gani?
Asante Yesu!Vijana 500 wamekamatwa mjini Moshi mkoani Kilimanjaro wakiwa wanapatiwa mafunzo yasiyo rasmi mafichoni.
Mkuu wa wilaya ya Moshi mh Mtanda amesema vijana hao wametoka katika mikoa mbalimbali na viongozi wao 6 wanahojiwa na polisi.
Source: ITV habari
Hapana. Huu ni utapeli. Ni wa siku nyingi mbona! Watu sijui ni kwa nini wanakuwa rahisi hivyo kutapeliwa. Makambi kama haya yalishakuwepo siku za nyuma na watu wakatapeliwa.Bado wanapika ile kesi ya Freeman ili ionekane vijana hao wanapatiwa mafunzo mkoani kwa akina Freeman
Hata Arusha walikuwepo wakitoa mafunzo ya kuuza zile mitishamba zilizoboleshwa pale Kaloleni ghorofa ya ppf kama sijakosea, leo ndiyo inaonekana wanafunzwa #$^'$™%∆;$(/Kwa nini Kilimanjaro?
Kwa mbali naona wanataka kuhususha na kesi ya mbowe ial wamekosea tena kwa mara ingineNchi inakoenda kubaya zaidi, vijana 500 mbona ni wengi mno
Hata Dar yamewahi kufanyika na hayafanyikii porini ni mijini na wana ofisi rasmi.Nayatamani sana hayo mafunzo basi tu sijapata nafasi
Mmh ,mafunzo ya global alliance?Hii habari siyo nzuri na inasikitisha sana...
Unamuingiza Yesu kwenye ushetani wa CCM hakika humtendei vyema. Atakukana siku ya mwisho hakukutumaAsante Yesu!
Operation iendelee tu!
How?ccm ndo wamefanya hayo mafunzo mafichoni mkuu?Unamuingiza Yesu kwenye ushetani wa CCM hakika humtendei vyema. Atakukana siku ya mwisho hakukutuma
shauri yako.
Mimi nayataka mkuu, nitajiunga vipi?Hata Dar yamewahi kufanyika na hayafanyikii porini ni mijini na wana ofisi rasmi.
Hii taatifa imekua exaggerated mno na media. Hata viongozi walivyoisema ni tofauti na uhalisia, kama kiki vile. Alliance Global Motion hawajaanz kutoa seminar hizo leo. Tuendelee kufuatilia, kesi hii itakosa nguvu, kama ile ya Q-net ilivyokua kule Hai wakati wa Sabaya