Fascinating
Senior Member
- May 14, 2025
- 146
- 351
Siyo utajiri tu ambao hauwezi kumuokoa mtu na kifo.Utajiri haujaweza kumuokoa. Wajifunze na wa hapa kwetu
Amekufa.Wakuu, nadhani mmeiona hii habari inayotrend mitandaoni kuhusu taarifa za kifo cha mfanyabishara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo. Taarifa za awali zinasema helikopta yake imeanguka maeneo ya Marondera. Lakini cha kusikitisha ni kwamba, kabla hata mwili haujapoa, tayari minong'ono na nadharia za kijasusi zimeshaanza kusambaa kwa kasi.
View attachment 3681396Swali kubwa vijiwe nongwa ni moja: Je, jamaa amefariki kweli, au huu ni mchezo mwingine wakufake ajali ili aingia mitini na vitita vya watu?
Wasiwasi wa watu haukutokei tu bila ya sababu, Chivayo ana historia ndefu ya kashfa zinazotia shaka na kuibua maswali juu uaminifu wake:
Miaka ya hivi karibuni, huyu jamaa amekuwa akijipendekeza na kujipenyeza karibu sana na viongozi wakuu wa mataifa mbali mbali ya Afrika, huku akionesha maisha ya kifahari na kutoa zawadi zenye utata kiasi kwamba imewafanya wengi wahoji chanzo halisi cha ukwasi wake.
- Rekodi ya Jela (2004): Aliwahi kutumikia kifungo Afrika Kusini kwa makosa ya wizi na kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu.
- Skendo ya Umeme wa nguvu za Jua (Gwanda): Jamaa alipiga zaidi ya dola milioni 5 kama malipo ya awali kwa ajili ya mradi wa umeme wa jua wa Gwanda, lakini hadi leo mradi haujakamilika.
- Tume ya Uchaguzi ya Zimbabwe (ZEC): Alikumbwa na tuhuma nzito za ulaghai wa zaidi ya dola milioni 100 za ZEC.
- Kashfa ya Pasipoti za Kenya: Kuna nyaraka zilizovuja zikimhusisha na kashfa ya utengenezaji wa pasipoti zenye utata nchini Kenya.
Hapa ndipo mzizi wa nadharia za minong'ono ya vijiwe nongwa inapoanzia: Vipi kama Chivayo alikuwa akikusanya na kushikilia mabilioni ya viongozi hawa kwa mtego wa kuwekeza viinua mgongo vyao vya uzeeni? Na baada ya kuona mzigo umekuwa mrefu kupiliza, akaona njia rahisi ya kucashout kisha kuandaa ajali ya uongo ili watu wamsahau ale bata zake kimya kimya na kukimbia na hiyo mipango ya watu ya kustaafu?
Mungu anaweza akitaka.Siyo utajiri tu ambao hauwezi kumuokoa mtu na kifo.
Hata Mungu hawezi kukuokoa kwenye kifo
Kumbe mpaka akitaka, akijisikia.Mungu anaweza akitaka.
Utajiri hauwezi.Kumbe mpaka akitaka, akijisikia.
Hata utajiri unaweza ukitaka
Si kwa dunia hii yenye uwazi mkubwa kiasi hiki,atajificha wapiWakuu, nadhani mmeiona hii habari inayotrend mitandaoni kuhusu taarifa za kifo cha mfanyabishara wa Zimbabwe, Wicknell Chivayo. Taarifa za awali zinasema helikopta yake imeanguka maeneo ya Marondera. Lakini cha kusikitisha ni kwamba, kabla hata mwili haujapoa, tayari minong'ono na nadharia za kijasusi zimeshaanza kusambaa kwa kasi.
View attachment 3681396Swali kubwa vijiwe nongwa ni moja: Je, jamaa amefariki kweli, au huu ni mchezo mwingine wakufake ajali ili aingia mitini na vitita vya watu?
Wasiwasi wa watu haukutokei tu bila ya sababu, Chivayo ana historia ndefu ya kashfa zinazotia shaka na kuibua maswali juu uaminifu wake:
Miaka ya hivi karibuni, huyu jamaa amekuwa akijipendekeza na kujipenyeza karibu sana na viongozi wakuu wa mataifa mbali mbali ya Afrika, huku akionesha maisha ya kifahari na kutoa zawadi zenye utata kiasi kwamba imewafanya wengi wahoji chanzo halisi cha ukwasi wake.
- Rekodi ya Jela (2004): Aliwahi kutumikia kifungo Afrika Kusini kwa makosa ya wizi na kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu.
- Skendo ya Umeme wa nguvu za Jua (Gwanda): Jamaa alipiga zaidi ya dola milioni 5 kama malipo ya awali kwa ajili ya mradi wa umeme wa jua wa Gwanda, lakini hadi leo mradi haujakamilika.
- Tume ya Uchaguzi ya Zimbabwe (ZEC): Alikumbwa na tuhuma nzito za ulaghai wa zaidi ya dola milioni 100 za ZEC.
- Kashfa ya Pasipoti za Kenya: Kuna nyaraka zilizovuja zikimhusisha na kashfa ya utengenezaji wa pasipoti zenye utata nchini Kenya.
Hapa ndipo mzizi wa nadharia za minong'ono ya vijiwe nongwa inapoanzia: Vipi kama Chivayo alikuwa akikusanya na kushikilia mabilioni ya viongozi hawa kwa mtego wa kuwekeza viinua mgongo vyao vya uzeeni? Na baada ya kuona mzigo umekuwa mrefu kupiliza, akaona njia rahisi ya kucashout kisha kuandaa ajali ya uongo ili watu wamsahau ale bata zake kimya kimya na kukimbia na hiyo mipango ya watu ya kustaafu?
... ila kafaidi though shortly! Vipi; ungependa uishi miaka 100 kama kapuku au 40 kama tycoon? Teh!Utajiri wa masharti huo ndio kawaida ya vijana wa Zimbabwe, kafa kweli kwa ajali kama alivyokufa Genius Ginimbi.
Baada ya muda mfupi hakuna hata Mali yake Moja itakayobakia